Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo shamba ukikosa kazi!Unaenda kutafuta kazi gani
HakikaKwa zama hizi thamani ya mtu upimwa kwa pesa zake
Heri wewe unapata mshaharaNipo kazini mshahara wangu ni laki 550k take home lakini nyuma ya huo mshahara nina madeni namna hii
Kazini deni la shilingi elfu 42 na 500
Huko nyumbani nina deni la 30k , kiujumla nachoka akili yangu.
What about freelancing in platform like upwork and fiverr...That question is too wide try narrowing it
kama una connection na sehemu wanayoosha magari kama kuna nafas naomba niconnect mkuu.Betting
Osha magari
Nenda sokoni
Kibarua
Haramu ipi isiyodhalilisha utu?Umasikini ni laana ukatae kwa nguvu na akili zako zote hata kwa kazi haramu (sio za kudhalilisha utu wako)
Hazitajwi hapa jukwaani tutaharibu maisha ya watuHaramu ipi isiyodhalilisha utu?
Nimewahi kuteseka bila kazi kila nikienda na vyeti vyangu sipatiwi kazi ,Heri wewe unapata mshahara
A very touching storyNimewahi kuteseka bila kazi kila nikienda na vyeti vyangu sipatiwi kazi ,
Nikajisemea kimoyo moyo sitakuja kuomba kazi tena kwenye sector binafsi labda mpaka pale ajira za serikali zikitoka.
Basi buana nilikaa na harakati za kilimo huko kijijini kwetu nikaanza kulima Mahindi hekari moja, pamba nusu hekari na maharage nikalima robo .
Hapo sina mtaji wakununua mbolea , ila mbegu nikapambana kununua na mwaka 2023- 2024 mvua ilikuwa yakutosha , ile hekari moja ya mahindi nikaomba wafanyakazi wanisaidie maana huko kwetu tunatumia warundi nikawaahidi nitawalipa , sawa wakalima nikapanda mahindi ,na sehemu iliyobakia pamba na maharage nililima kwa nguvu zangu , nilikuwa nauwezo wakushinda shambani mpaka jioni na hiyo nikutokana na uchungu niliokuwa nao , nilipambana sana ,nikavuna na pamba mwezi wa 6 nikatoa laki 4 na elfu 35 tu , maharage nilitoa gunia moja ,kiukweli nikiyafurahia maisha hayo , baada yakuuza pamba nilipigiwa simu ya ajira bila kuomba ndo nikaenda kupambana zaidi na mpaka sasa nimeajiriwa na ninajishughulisha na kilimo.
Ushauri kwa vijana wenzangu , tusichague kazi hata kama kazi hakuna tafuta fursa yako binafsi kikubwa pambana , unapofungua mlango mmoja nirahisi na mwingine kufunguliwa ya bila wewe kubisha hodi.
Kukosa hela hakupendezi.
Unaweza kutoa mbwa?Kukosa hela hakupendezi..
Ni hayo tu
Wee taja tyuuh.Hazitajwi hapa jukwaani tutaharibu maisha ya watu