Acha niamke nikatafute kazi

Kwa mtu alie pevuka nirahisi kutambua kwamba haujui unacho kitafuta, haujiamini ama ulikwenda shule lakini haukuelimika
Must i.puut to the public what I want😹
You crazy
 
Haya maisha mliyachagua na makomwe yenu. Miaka yote wanaume walikuwa comfortable kuishi na mwanamke ambaye hana kipato na watagharamikia 100% ya gharama zote bila kuongea au kuona wanatumika.

Ila ujuaji wenu,kupangia wanaume matumizi ya pesa zao,utulivu zero kutaka kila mwanaume awe anakukula halafu akupe chochote ndio imewafikisha hapa.

Na bado,saa hii mnatumia miili, ngoja umri usogee hali iwe tete,mtajua hamjui.
 
Ngoja tuoneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
She is just trolling you guys sidhan km yupo serious na alichoandika angalia the way anajibu.
Ndio nijiongeze vijana, naona binti hana mwanaume wa kumfanya busy...😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…