snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
ya nini sasa haya maisha ya hiviSijui kama atazingatia ila hii iachangia sana,sigma male hawako romantic kama wadada wengi wanavyotaka wanaume wawe.
Sigma male ni watu wakimya,hata ukijinunisha wao wanajua namna ya kuishi na wewe ukiwa umenuna yeye anakupotezea wmsihowe wewe ndio unaumia kwa kuona hakubembelezi.
Sigma males hawanuniwi wala kuhojiwa hojiwa kwamba kwa nini wako hivyo,usimuulizeulize kwwmba mbona uko mkimy,mbona hunijali mbona huchangamki n.k ukiuliza hivyo unaharibu kabisa unakuwa unakera zaidi aisee.
Kama anasoma nampa hii njia ya kuishi na huyo sigma male..
1.asijethubutu kumnunia akidhani hilo litamfanya mume ajiulize kakosea wapi,kumbuka sigma male hajali kununiwa na ukimnunia umeharibu kabisa.
Hakikisha mke haumnunii sigma male k2a sababu sigma male sio mtu wa kubembeleza ama kulialia.
2. Hakikisha mumeo unamchangamkia akirudi,hakikisha unapiga nae stori hata kwa kuzianzisha wewe,
NB : yani ongea nae kwa ile mood ambayo unakuwa nayo siku ukiwa umefurahi sana ndio tumia mood hiyo kuongea nae,tabasamu usipingepinge kila anachokisema kwa sababu huwezi kuwa na hoja za msingi kbele ya sigma male,so hakikisha anachokisema haupingi kijinga weka hoja then muwe mnaomgea kihoja.
3.hakikisha unampa moyo katika changamoto anazopitia na sio kumkosoa hata kama changamoto aliyonayo eye ndio kaisababisha usianze kumkosoakosoa.
4. Ni jambo gumu sana kwa sigma male kurekebisha kila kosa,kuna makosa sigma akiona yeye hupiga kimya na hupunguza ile furaha yake kwako yaani kama anakupotezea hivi kwa sababu kuna jambo unazingua alafu hutaki kujirekebisha eidha kwa ubishi au kutokujua kama unakosea.
.so kuepuka hilo hakikisha unajievaluate yourself kitu gani unahisi hakipendi na kipi anapenda.
Kwa kukusaidia tu nataja baadhi ya mambo ambayo sigma wengi hupenda.
.kuchangamkiwa.
.usiwe gogo kitandani yani tawala kutanda,mtawale mumeo uwe mtundu.
Usipingepinge hoja zake kwa sababu anahoja za smingi sana huwezi kumzidi hoja sigma kamwe.
Kucheka na asocheka
Kuongea na asoongea
yani mbona nimesoma tu hapa na kichwa kinauma!
Hizi human behaviours zingine muwa mnaishia kuzisoma kwenye mitandao na vitabu, sio justifications za kuwatesa wenzenu na kuwa hamuwezekaniki kuishi na wengine!
Life and love is all about balancing and be empathetic.
Kubaki kwenye personalities ambazo zinawanjua mahusino na kuumiza na kujeruhi wenine si UFAHARI HATA KIDOGO!