Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Maana mpaka anakuoa ni kwamba anataka uwe nae maishani hataki kukupoteza,wanaume tunapitia mengi katika maisha vingi hatuwaambii wake zetu deep down tunameza uchungu mpaka tunapoteza hamu na mpenzi+marafiki even family Ila moyoni tunapenda familia zetu ndo maana tunateseka kwa ajili yao.
I represent all men who are bread winner's for their families
 
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.

Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.

Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.

Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.

Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.

Nahisi kudata nifanyeje?
Pole huduma zakonbinafsi ni zipi labda?na je una uhakika kwamba jamaa aliamua mwenyewe kukuoa au ulimshinikiza ki-chawi? funguka vizuri upate msaada
 
Maana mpaka anakuoa ni kwamba anataka uwe nae maishani hataki kukupoteza,wanaume tunapitia mengi katika maisha vingi hatuwaambii wake zetu deep down tunameza uchungu mpaka tunapoteza hamu na mpenzi+marafiki even family Ila moyoni tunapenda familia zetu ndo maana tunateseka kwa ajili yao.
I represent all men who are bread winner's for their families
Kabisa mkuu kuna mambo kidume unaamua kumficha wife ili asije haribu hali ya hewa zaidi,somwanaume anakomaa kibingwa na hali hizo mpaka mambo yanakaa sawa.
 
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.

Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.

Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.

Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.

Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.

Nahisi kudata nifanyeje?
😂😂😂😂😆😆😆😆😁😁😁😁 Nimecheka ..

Nadhani hakuamini na anaona alioa mwanamke ambae sio chaguo lake na Kuna sababu ya hivyo..

Sometimes hata Mimi huwa yananitokea ya kutokujali hata kidogo na kumaliza mwezi bila sex na hata nikisex nafanya hivyo nikiwa na hamu saaana na pia nafanya kutimixa wajibu kwamba Nina mke ndani so lazima nifanye..

🤸🤸🤸🤸🤸
 
Pole sana, em jaribu kuuliza nn ttzo ila sio kwa hasira muendee kwa unyenyekevu au saa zngne umejiachia sana jaribu kujikeep smart kdg na sexy ili avutike kdg na saa zngne maybe kapata mchepuko huko
Huu Ni ushauri muhimu Sana, wanawake Ni wajinga sometimes unajiweka Kama mabinti wadogo
 
Huyo kapata mchepuko hakuna cha zaidi
Hakuna Mwanaume asiye na michepuko,hapo Kuna kitu kinamuudhi Mwanaume na anashindwa kukuambia huyo mke wake pengine Ni Cha kukirihisha Sana..

It happens Tena Sana tuu ila kikubwa lazima mwanamke amebadilika Sana na ule muonekano wa kwanza.
 
Tatizo lilianzia hapo kwenye kupishana kauli na kujinunisha...
Hiyo nayo Ni sababu maana wanaume tunatofautiana kuchukulia Mambo..

Binafsi Sina dogo na unaweza sema kitu kikakaa kwenye akili na nikashindwa kabisa kukitoa so kinaathiri saikolojia Moja kwa Moja kiasi kwamba unapunguza Sana ukaribu na mazoea na mwanamke..

Hii inatokana hasa na kuwa na Mwanaume ambaye kutiana Ni sehemu ndogo Sana ya ubongo wake..

Ila akipata Mwanaume ambae anatoa uzito kwenye Mambo ya kutiana Ni rahisi Sana kupotezea.
 
Sijui kama atazingatia ila hii iachangia sana,sigma male hawako romantic kama wadada wengi wanavyotaka wanaume wawe.

Sigma male ni watu wakimya,hata ukijinunisha wao wanajua namna ya kuishi na wewe ukiwa umenuna yeye anakupotezea wmsihowe wewe ndio unaumia kwa kuona hakubembelezi.

Sigma males hawanuniwi wala kuhojiwa hojiwa kwamba kwa nini wako hivyo,usimuulizeulize kwwmba mbona uko mkimy,mbona hunijali mbona huchangamki n.k ukiuliza hivyo unaharibu kabisa unakuwa unakera zaidi aisee.

Kama anasoma nampa hii njia ya kuishi na huyo sigma male..

1.asijethubutu kumnunia akidhani hilo litamfanya mume ajiulize kakosea wapi,kumbuka sigma male hajali kununiwa na ukimnunia umeharibu kabisa.

Hakikisha mke haumnunii sigma male k2a sababu sigma male sio mtu wa kubembeleza ama kulialia.

2. Hakikisha mumeo unamchangamkia akirudi,hakikisha unapiga nae stori hata kwa kuzianzisha wewe,

NB : yani ongea nae kwa ile mood ambayo unakuwa nayo siku ukiwa umefurahi sana ndio tumia mood hiyo kuongea nae,tabasamu usipingepinge kila anachokisema kwa sababu huwezi kuwa na hoja za msingi kbele ya sigma male,so hakikisha anachokisema haupingi kijinga weka hoja then muwe mnaomgea kihoja.

3.hakikisha unampa moyo katika changamoto anazopitia na sio kumkosoa hata kama changamoto aliyonayo eye ndio kaisababisha usianze kumkosoakosoa.

4. Ni jambo gumu sana kwa sigma male kurekebisha kila kosa,kuna makosa sigma akiona yeye hupiga kimya na hupunguza ile furaha yake kwako yaani kama anakupotezea hivi kwa sababu kuna jambo unazingua alafu hutaki kujirekebisha eidha kwa ubishi au kutokujua kama unakosea.
.so kuepuka hilo hakikisha unajievaluate yourself kitu gani unahisi hakipendi na kipi anapenda.

Kwa kukusaidia tu nataja baadhi ya mambo ambayo sigma wengi hupenda.

.kuchangamkiwa.
.usiwe gogo kitandani yani tawala kutanda,mtawale mumeo uwe mtundu.
Usipingepinge hoja zake kwa sababu anahoja za smingi sana huwezi kumzidi hoja sigma kamwe.
Hii Ni typical tabia yangu na ukichanganya na ukali Sasa daa nakuwa nawaonea huruma naoishi nao maana wanakuwa Kuna kitu wanakikosa but unfortunately siwezi behave wanavyotaka 😂😂.

Unune au usinune I don't care na naendelea na Mambo yangu,na huwa hatutaki Mambo ya sijui kubelezwa Wala kubembeleza,utabembelezwa wakati unatongozwa tuu Napo kwa strict rules na kutegemea attention yako ila eti kulilia Lilia wanawake au kulazimisha mapenzi,never..

Sigma Mara nyingi ndio introvert,yaani ukinuna ukitegemea kubembeleza unajidanganya maana kwa asili Ni watu wanpenda kuwa peke Yao badal ya kujichanganya na hata watu wengi wanaotumia jf au mitandao ya kuandika ni hao hasa kwenye sections za mijadala.
 
Ndugu umefanya nijitafakari mara mbili...umepita mulemule
Chukua hiyo alichoandika ndio ukweli huo..

Ila usije kudhani hakuoendi hapana ila tuu mapenzi yamepungua but ni Kuna sababu ambazo ziko upande wako so ili kuepuka Ligi zisizo na msingi anaamua kuwa kimya..

Shida ya sigma Ni kwamba wanaamini.kwenye perfection Sana Sasa kama Kuna kasoro kagundua kwako aisee kutoka kwenye akili yake sio Leo Wala kesho,kikubwa usiwe mbishi kwa kile anachoamini ni sahihi na ukitaka kuleta mawazo mbadala tumia upole atasikiliza maana Ni jamii ya watu wanaopenda umshawishi kwa hoja sio habari za kusikia..
 
Kwa maelezo yako..sisi Sigma Male tuko hivyo..mzoe tu..tunataka sana kuwa huru..hapo unavyokuwa nae ni kama unambana sana..tunapenda kuwa wenyewe..ingia YouTube utanielewa na utamuelewa mumeo.
Ila shida kubwa tunawapa shida hao wengine na sababu kubwa Ni wao kutofahamu kwamba Kuna wanaume wa hivyo..

Unaweza kuta mtu anajiongelesha unamuangalia tuu uko busy na Mambo yako 😁😁..

Hasara za hii tabia inanitesa kazini staff wenzio wanaishia kukushuku kwa Mambo mengi ambayo hata hufanyi ila Sasa no way out nimezoea so huwa sijali whatever saya say..

Ila sie Ni watu wenye Moto wa huruma na Watu wema but tuna misimamo mikali kidogo kwenye masuala ya Upuuzi hatutaki hata kidogo..
 
Sijui kama atazingatia ila hii iachangia sana,sigma male hawako romantic kama wadada wengi wanavyotaka wanaume wawe.

Sigma male ni watu wakimya,hata ukijinunisha wao wanajua namna ya kuishi na wewe ukiwa umenuna yeye anakupotezea wmsihowe wewe ndio unaumia kwa kuona hakubembelezi.

Sigma males hawanuniwi wala kuhojiwa hojiwa kwamba kwa nini wako hivyo,usimuulizeulize kwwmba mbona uko mkimy,mbona hunijali mbona huchangamki n.k ukiuliza hivyo unaharibu kabisa unakuwa unakera zaidi aisee.

Kama anasoma nampa hii njia ya kuishi na huyo sigma male..

1.asijethubutu kumnunia akidhani hilo litamfanya mume ajiulize kakosea wapi,kumbuka sigma male hajali kununiwa na ukimnunia umeharibu kabisa.

Hakikisha mke haumnunii sigma male k2a sababu sigma male sio mtu wa kubembeleza ama kulialia.

2. Hakikisha mumeo unamchangamkia akirudi,hakikisha unapiga nae stori hata kwa kuzianzisha wewe,

NB : yani ongea nae kwa ile mood ambayo unakuwa nayo siku ukiwa umefurahi sana ndio tumia mood hiyo kuongea nae,tabasamu usipingepinge kila anachokisema kwa sababu huwezi kuwa na hoja za msingi kbele ya sigma male,so hakikisha anachokisema haupingi kijinga weka hoja then muwe mnaomgea kihoja.

3.hakikisha unampa moyo katika changamoto anazopitia na sio kumkosoa hata kama changamoto aliyonayo eye ndio kaisababisha usianze kumkosoakosoa.

4. Ni jambo gumu sana kwa sigma male kurekebisha kila kosa,kuna makosa sigma akiona yeye hupiga kimya na hupunguza ile furaha yake kwako yaani kama anakupotezea hivi kwa sababu kuna jambo unazingua alafu hutaki kujirekebisha eidha kwa ubishi au kutokujua kama unakosea.
.so kuepuka hilo hakikisha unajievaluate yourself kitu gani unahisi hakipendi na kipi anapenda.

Kwa kukusaidia tu nataja baadhi ya mambo ambayo sigma wengi hupenda.

.kuchangamkiwa.
.usiwe gogo kitandani yani tawala kutanda,mtawale mumeo uwe mtundu.
Usipingepinge hoja zake kwa sababu anahoja za smingi sana huwezi kumzidi hoja sigma kamwe.
Nashukuru sana.

Umeniongelea vizuri sana.

Natamani mke wangu aione ila ndo hivyo hawezi.
 
Ila shida kubwa tunawapa shida hao wengine na sababu kubwa Ni wao kutofahamu kwamba Kuna wanaume wa hivyo..

Unaweza kuta mtu anajiongelesha unamuangalia tuu uko busy na Mambo yako 😁😁..

Hasara za hii tabia inanitesa kazini staff wenzio wanaishia kukushuku kwa Mambo mengi ambayo hata hufanyi ila Sasa no way out nimezoea so huwa sijali whatever saya say..

Ila sie Ni watu wenye Moto wa huruma na Watu wema but tuna misimamo mikali kidogo kwenye masuala ya Upuuzi hatutaki hata kidogo..
Ni kweli..kazini staff wenzio wanashindwa kukuelewa kwa sababu hatuweki mambo yetu wazi..hii ni silaha kubwa sana..hivyo wanaishia kukudhania wewe ni wale watu Taasisi ileee..
 
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.

Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.

Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.

Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.

Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.

Nahisi kudata nifanyeje?
jichunguze wewe kwanza
 
Njoo nikupe dudu,vile wife yupo mbali
 
Wanawake mnapenda Nini? Mtu akiwa na wivu nawewe maneno kibao umeachwa uwe huru huna Amani.
 
Atapatikana tu wa kunitaka tuyajenge.. Hawa wa kujitongozesha huwa ni wa kuhave nao fun kwa muda mfupi
You have got point Mkuu. Hao sio ea ndoa. Siku mbili tu penzi linakuwa mufilisi. Mwanaume huwa anapenda at first sight. Hawezi kujifunza kupenda baadae.
 
Mnapingana na nature, simba hufurahia windo lake.

Pole sana mkuu, jaribu kumuuliza shida nini japo huwaga hatusemi.

Ni mara chache mwanaume kukwambia kile anahisi juu yako, wanawake ndo angalau huwa wanayatoa ya moyoni.
 
Back
Top Bottom