favourismyname
JF-Expert Member
- Jul 17, 2022
- 403
- 361
KabisaaaMkuu maisha ni ligi ukisubiri mambo yatokee bila juhudi zako fursa inakupita ni vizuri kuishi kimkakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaaaMkuu maisha ni ligi ukisubiri mambo yatokee bila juhudi zako fursa inakupita ni vizuri kuishi kimkakati
Sijui kama atazingatia ila hii iachangia sana,sigma male hawako romantic kama wadada wengi wanavyotaka wanaume wawe.Kwa maelezo yako..sisi Sigma Male tuko hivyo..mzoe tu..tunataka sana kuwa huru..hapo unavyokuwa nae ni kama unambana sana..tunapenda kuwa wenyewe..ingia YouTube utanielewa na utamuelewa mumeo.
Uwiiiii!! Asante Yesu, maana huu mbona sasa ni msalaba🙆🙆🙆Sijui kama atazingatia ila hii iachangia sana,sigma male hawako romantic kama wadada wengi wanavyotaka wanaume wawe.
Sigma male ni watu wakimya,hata ukijinunisha wao wanajua namna ya kuishi na wewe ukiwa umenuna yeye anakupotezea wmsihowe wewe ndio unaumia kwa kuona hakubembelezi.
Sigma males hawanuniwi wala kuhojiwa hojiwa kwamba kwa nini wako hivyo,usimuulizeulize kwwmba mbona uko mkimy,mbona hunijali mbona huchangamki n.k ukiuliza hivyo unaharibu kabisa unakuwa unakera zaidi aisee.
Kama anasoma nampa hii njia ya kuishi na huyo sigma male..
1.asijethubutu kumnunia akidhani hilo litamfanya mume ajiulize kakosea wapi,kumbuka sigma male hajali kununiwa na ukimnunia umeharibu kabisa.
Hakikisha mke haumnunii sigma male k2a sababu sigma male sio mtu wa kubembeleza ama kulialia.
2. Hakikisha mumeo unamchangamkia akirudi,hakikisha unapiga nae stori hata kwa kuzianzisha wewe,
NB : yani ongea nae kwa ile mood ambayo unakuwa nayo siku ukiwa umefurahi sana ndio tumia mood hiyo kuongea nae,tabasamu usipingepinge kila anachokisema kwa sababu huwezi kuwa na hoja za msingi kbele ya sigma male,so hakikisha anachokisema haupingi kijinga weka hoja then muwe mnaomgea kihoja.
3.hakikisha unampa moyo katika changamoto anazopitia na sio kumkosoa hata kama changamoto aliyonayo eye ndio kaisababisha usianze kumkosoakosoa.
4. Ni jambo gumu sana kwa sigma male kurekebisha kila kosa,kuna makosa sigma akiona yeye hupiga kimya na hupunguza ile furaha yake kwako yaani kama anakupotezea hivi kwa sababu kuna jambo unazingua alafu hutaki kujirekebisha eidha kwa ubishi au kutokujua kama unakosea.
.so kuepuka hilo hakikisha unajievaluate yourself kitu gani unahisi hakipendi na kipi anapenda.
Kwa kukusaidia tu nataja baadhi ya mambo ambayo sigma wengi hupenda.
.kuchangamkiwa.
.usiwe gogo kitandani yani tawala kutanda,mtawale mumeo uwe mtundu.
Usipingepinge hoja zake kwa sababu anahoja za smingi sana huwezi kumzidi hoja sigma kamwe.
jibu sahihi kabisa.Malipo ni hapa hapa duniani. Kwanini uliwakataa waliokutongoza na kuanza kumtongoza mwanaume ambae hakupendi.
Umesema vizuri..ila wanawavutia sana wanawake.Sijui kama atazingatia ila hii iachangia sana,sigma male hawako romantic kama wadada wengi wanavyotaka wanaume wawe.
Sigma male ni watu wakimya,hata ukijinunisha wao wanajua namna ya kuishi na wewe ukiwa umenuna yeye anakupotezea wmsihowe wewe ndio unaumia kwa kuona hakubembelezi.
Sigma males hawanuniwi wala kuhojiwa hojiwa kwamba kwa nini wako hivyo,usimuulizeulize kwwmba mbona uko mkimy,mbona hunijali mbona huchangamki n.k ukiuliza hivyo unaharibu kabisa unakuwa unakera zaidi aisee.
Kama anasoma nampa hii njia ya kuishi na huyo sigma male..
1.asijethubutu kumnunia akidhani hilo litamfanya mume ajiulize kakosea wapi,kumbuka sigma male hajali kununiwa na ukimnunia umeharibu kabisa.
Hakikisha mke haumnunii sigma male k2a sababu sigma male sio mtu wa kubembeleza ama kulialia.
2. Hakikisha mumeo unamchangamkia akirudi,hakikisha unapiga nae stori hata kwa kuzianzisha wewe,
NB : yani ongea nae kwa ile mood ambayo unakuwa nayo siku ukiwa umefurahi sana ndio tumia mood hiyo kuongea nae,tabasamu usipingepinge kila anachokisema kwa sababu huwezi kuwa na hoja za msingi kbele ya sigma male,so hakikisha anachokisema haupingi kijinga weka hoja then muwe mnaomgea kihoja.
3.hakikisha unampa moyo katika changamoto anazopitia na sio kumkosoa hata kama changamoto aliyonayo eye ndio kaisababisha usianze kumkosoakosoa.
4. Ni jambo gumu sana kwa sigma male kurekebisha kila kosa,kuna makosa sigma akiona yeye hupiga kimya na hupunguza ile furaha yake kwako yaani kama anakupotezea hivi kwa sababu kuna jambo unazingua alafu hutaki kujirekebisha eidha kwa ubishi au kutokujua kama unakosea.
.so kuepuka hilo hakikisha unajievaluate yourself kitu gani unahisi hakipendi na kipi anapenda.
Kwa kukusaidia tu nataja baadhi ya mambo ambayo sigma wengi hupenda.
.kuchangamkiwa.
.usiwe gogo kitandani yani tawala kutanda,mtawale mumeo uwe mtundu.
Usipingepinge hoja zake kwa sababu anahoja za smingi sana huwezi kumzidi hoja sigma kamwe.
Kwa njni wasema hivyoUwiiiii!! Asante Yesu, maana huu mbona sasa ni msalaba🙆🙆🙆
uyu ni mimi kabisaIlikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.
Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.
Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.
Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.
Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.
Nahisi kudata nifanyeje?
Kabisa mkuu.Umesema vizuri..ila wanawavutia sana wanawake.
Mungu aliepushia mbali. Siwezi kuishi na mtu wa hivyo.Kwa njni wasema hivyo
Umegusa mule mule.Sijui kama atazingatia ila hii iachangia sana,sigma male hawako romantic kama wadada wengi wanavyotaka wanaume wawe.
Sigma male ni watu wakimya,hata ukijinunisha wao wanajua namna ya kuishi na wewe ukiwa umenuna yeye anakupotezea wmsihowe wewe ndio unaumia kwa kuona hakubembelezi.
Sigma males hawanuniwi wala kuhojiwa hojiwa kwamba kwa nini wako hivyo,usimuulizeulize kwwmba mbona uko mkimy,mbona hunijali mbona huchangamki n.k ukiuliza hivyo unaharibu kabisa unakuwa unakera zaidi aisee.
Kama anasoma nampa hii njia ya kuishi na huyo sigma male..
1.asijethubutu kumnunia akidhani hilo litamfanya mume ajiulize kakosea wapi,kumbuka sigma male hajali kununiwa na ukimnunia umeharibu kabisa.
Hakikisha mke haumnunii sigma male k2a sababu sigma male sio mtu wa kubembeleza ama kulialia.
2. Hakikisha mumeo unamchangamkia akirudi,hakikisha unapiga nae stori hata kwa kuzianzisha wewe,
NB : yani ongea nae kwa ile mood ambayo unakuwa nayo siku ukiwa umefurahi sana ndio tumia mood hiyo kuongea nae,tabasamu usipingepinge kila anachokisema kwa sababu huwezi kuwa na hoja za msingi kbele ya sigma male,so hakikisha anachokisema haupingi kijinga weka hoja then muwe mnaomgea kihoja.
3.hakikisha unampa moyo katika changamoto anazopitia na sio kumkosoa hata kama changamoto aliyonayo eye ndio kaisababisha usianze kumkosoakosoa.
4. Ni jambo gumu sana kwa sigma male kurekebisha kila kosa,kuna makosa sigma akiona yeye hupiga kimya na hupunguza ile furaha yake kwako yaani kama anakupotezea hivi kwa sababu kuna jambo unazingua alafu hutaki kujirekebisha eidha kwa ubishi au kutokujua kama unakosea.
.so kuepuka hilo hakikisha unajievaluate yourself kitu gani unahisi hakipendi na kipi anapenda.
Kwa kukusaidia tu nataja baadhi ya mambo ambayo sigma wengi hupenda.
.kuchangamkiwa.
.usiwe gogo kitandani yani tawala kutanda,mtawale mumeo uwe mtundu.
Usipingepinge hoja zake kwa sababu anahoja za smingi sana huwezi kumzidi hoja sigma kamwe.
But nqdhani ni bora kujifunza kusema ukweli pale ambapo mtu unakwazika kuliko kuendeleza tabia hiyo kwa kuamini ni usigma.Umegusa mule mule.
Niliwahi ku date na mdada mmoja, sikumbuki alinitibua kuhusu jambo gani, aisee mi nika kaa kimya tu, maana najua kwamba anajua anachokifanya halafu anasubiri nimwambie, hua nashindwa kabisa sjui kwanini. Na yeye akakausha, ndio ikawa mazima. Its been years now.
Labda ndio hii sigma maana ndio nimeifahamu hivi karibuni.
Ndugu umefanya nijitafakari mara mbili...umepita mulemuleSijui kama atazingatia ila hii iachangia sana,sigma male hawako romantic kama wadada wengi wanavyotaka wanaume wawe.