Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

Sio maringo hayo unayoyafikiria. Yaani una hakikisha anakutaka yeye tena ile hasa. Mahusiano mengi yaliyolazimishwa na mwanamke mara nyingi mume anakuwa hivyo.
Ndoa inakuwa proposed na mwanaume na si mwanamke kulazimisha.
Kujitongozesha kupo kwa mwanaume ambae unatamani tu kupita nae na sio serious relationship, labda itokee tu bahati akupende kweli
Hii point muhimu sana. Mwanaume ndo anatakiwa amtongoze mwanamke na sio mwanamke kulazimisha.
 
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.

Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.

Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.

Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.

Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.

Nahisi kudata nifanyeje?
Mkuu sasa nimepata picha.
 
Kama ulikuwa na afya, ( mnene ) na sasa umekondeana! tafuta namna ya kurudisha mwili wako! hakikisha hicho kishundu unapokuwa unadeki, Mr ahisi kuna earth quick! huyo bwana atakuwa anawahi kurudi nyumbani, mpaka utashangaa! THANK ME LATER!!!
 
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.

Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.

Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.

Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.

Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.

Nahisi kudata nifanyeje?

Kwenye haya kunakua na kipindi cha mpito mpemda na usichoke kumweka karibu,wanaume tunamengi tunapitia tunapotoka kwenye nyumba zetu huwez jua

Jaribu kuakaribu ukichunguza shida ni nn hasa.
 
... mwambie akuongezee mke mwenzio,Ili mfahamiane tu...
 
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.

Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.

Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.

Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.

Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.

Nahisi kudata nifanyeje?
Dada hayo mambo kwenye ndoa mbona kawaida sanaaaa??? Kuwa mbunifu ktk njia za kutatua changamoto usiishie kumuuliza tu mbo a sikuiz umebadilika???
 
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa wapenzi.

Baada ya miezi 6 akanipeleka kwao akaja kwetu akanitolea mahari tukapanga ndoa mzazi wake akadai ajipange Kwanza ndio atufanyie sherehe. 2018 wakati mipango inaendelea akahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine nami Dec 2018 nikamfata tukaanza kuishi pamoja.

Nikapata changamoto ya kuchelewa kubeba mimba lakini namshukuru Mungu ninamtoto wa miezi. Kilichonifanya nije humu jamaa mapenzi kidogo aliyokua nayo kwangu yameisha kabisa. Yaani hana hata kidogo.

Tunaweza maliza hata mwezi hatujasex na nikimuuliza sababu kibao, tukipishina kauli nikijinunisha hana muda na Mimi kabisa
Anaweza safiri hata wiki zaidi ya kutuma sms wazima? Labda nimpigie Mimi. Nikimwambia niondoke hataki anadai kaa kwenye mji wako.

Yes hajanifukuza, hanipigi, hanitukani, sio mkorofi, familia anahudumia japo huduma zangu binafsi nikimbembe. Bt mapenzi hamna nikimuuliza anadai wasiwasi wangu tu. Nikiomba ruhusa kwenda kusalimia nyumban hajali hata nikae mwaka mzima.

Nahisi kudata nifanyeje?
Njoo kwangu baby. Cha muhimu kutunziana siri tu na heshima.
 
Msihi Mungu akufunulie yaliyojificha nyuma ya yale afanyayo kwa siri.

Lazima kuna mchepuko siyo bure.

Pole mwaya,

Sikilizia ndani yako unaona uamue vipi kwenye hali hiyo.

Tia akili.

Kama unapakushika anza mbele!

Hapo penzi hakunaga tena!

Yani hata ukienda kwenu Mwaka hajali wala nini?! Lol.

Yani huyo mchepuko Mungu atakulipia lakini mumeo naye kayataka pia!

Maana mchepuko mpaka akuroge urogeke ni mpaka Mwanaume uanze kujiweka karibu na mchepuko na uchukuliwe inputs!
 
Dem tulia utongozwe acha kiherehere ona sasa ashakuchoka na hujaolewa akioa ndio kabisaa na nyumban anakimbia
 
Dyadya

Hawa mbuzi wakishaanza hivi ujue wanachepuka huko nje....

Tafuta pesa...

Kuwa smart

Ishi maisha yako

Wekeza kivyako

Pendeza...

Zaidi ya yote jivutie mwanaume aliyemzidi mpaka dhambi akukojoleshe.....ukirudi home mkavu stress free.

Kikubwa usikamatwe ukamapa sababu.....(talaka itakuhusu)

●●●●ignore wale watakaokuja kutoa povu baada ya kukwambia tafuta wa kukukojoza!!!
 
Kwa maelezo yako..sisi Sigma Male tuko hivyo..mzoe tu..tunataka sana kuwa huru..hapo unavyokuwa nae ni kama unambana sana..tunapenda kuwa wenyewe..ingia YouTube utanielewa na utamuelewa mumeo.
 
Dyadya

Hawa mbuzi wakishaanza hivi ujue wanachepuka huko nje....

Tafuta pesa...

Kuwa smart

Ishi maisha yako

Wekeza kivyako

Pendeza...

Zaidi ya yote jivutie mwanaume aliyemzidi mpaka dhambi akukojoleshe.....ukirudi home mkavu stress free.

Kikubwa usikamatwe ukamapa sababu.....(talaka itakuhusu)

●●●●ignore wale watakaokuja kutoa povu baada ya kukwambia tafuta wa kukukojoza!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwenye kukojozwa na aliyemzidi dhambi hubby ndoumeniacha hoi
 
Back
Top Bottom