Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

ya nini sasa haya maisha ya hivi
Kucheka na asocheka
Kuongea na asoongea
yani mbona nimesoma tu hapa na kichwa kinauma!

Hizi human behaviours zingine muwa mnaishia kuzisoma kwenye mitandao na vitabu, sio justifications za kuwatesa wenzenu na kuwa hamuwezekaniki kuishi na wengine!

Life and love is all about balancing and be empathetic.
Kubaki kwenye personalities ambazo zinawanjua mahusino na kuumiza na kujeruhi wenine si UFAHARI HATA KIDOGO!
 
Ndio maana nikasema mtu asikae tu na tabia fulani akashindwa kurekebisha eti kisa ni usigma,hakuna maana,tujirekebishe na tuwe na tabia ambazo hazituumizi sisi wala kuwaumiza wenzetu.
 
Pole sana
 
Kwahiyo hoja ni kwamba unataka jamaa abutue kitumbua? Hapo jiangalie je baada ya kujifungua mtoto umekua mchafu? Hauna usafi wako tena hivo anavumilia tu kusogeza siku.
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…