Acha shule fanya biashara


Naona wewe umenielewa na anavyomaanisha mshauri umeelewa haswaa
Hata yeye haamini mtu kukaa darasani.a
Anasema kuwa elimu ni vile unavyojifunza kila siku.unapokuwa umeelimika katika kujifunza ktu bas inatosha si lazma nipoteze muda darasani,hata bidii ya mtu mwngn naweza kujifunza na mm nikawa na elimu
 
Rudi shule soma masomo ya jioni,akili za kuambiwa changanya na zako, marafiki zetu wengi si washauri wazuri, shilole kila mara analilia kukosa shule, kina odemba wote LA saba, pesa wanazo ila nafsi zinawasononeka kuishia la saba.
 
Hivi yule boss wa Azam ana kiwango gani cha degree? Diamond platnumz ana degrees ngapi?

Cha msingi Kama Unatamani kusoma kasome lakini muhimu ni kujua lugha ya kimataifa ikuwezeshe ku negotiate Business

hayo mengine utawaajiri wasomi wakusaidie ukishakuwa na pesa
 
Wachina wako had Colombia huko ila wanajua lugha ya kichina tu
 
Huko akasome nini Geography? Pysics au History?

Niambie hayo masomo anasoma nini hasa.
Rudi shule soma masomo ya jioni,akili za kuambiwa changanya na zako, marafiki zetu wengi si washauri wazuri, shilole kila mara analilia kukosa shule, kina odemba wote LA saba, pesa wanazo ila nafsi zinawasononeka kuishia la saba.
 
Sikiliza moyo wako mkuu
 
Asilimia 80% ya tunayofundishwa shuleni tunajaribu kuaminishwa uongo unaoendana na Ukweli but in real sense or practically not applicable
 
Kusoma ni endless process lakini kitu kigumu kwa watanzania wanafikiri kuwa kusoma na kupata cheti pekee ndo umepata maarifa, Kumbe tunatakiwa kupata maarifa kila siku kila wakati hata kama hupewi cheti
 
Mkuu, wewe Elimu yako ndio imekupatia Ajira Lumumba ya Kulipwa Buku 7 / post JF sio ?
 
Kama unataka kusoma nenda kasome bcoz unataka kuapply kitu unachokipenda na possibly ndo maana ukaajiriwa na kufanya biashara ili utafute ada ya kusomea.... Ila usije jutia baadae bcoz the world is changing everyday so be careful
 
Ukiwa na hela utawaajiri wenye akili kukuendeshea kampuni. Ila muhimu na wewe ukajua 1 2 3
 
Kama umeandika miaka misaba basi rudi shule tu mkuu
 
Ndugu hilo la wasomi wenye fani mbali mbali kujiunga na kufanya kitu naweza kukubali kwa kiasi ila kuna wakati ni changamoto sana kama chemistry yenu haitakuwa vizuri. Ila hilo la wafanyabiashara wakubwa kama Mengi walianza na taaluma zao baadae wakafikia hapo walipo hizo ni stori kaka za kufunika uhalisia,kuna njia wamepitia huzijui ila all in all lolote lawezekana.
 
Yani usilologwe ukaacha ela ukaenda kusoma assume kila siku biashara inakuingizia faida ya 20000 or 15000 ulipo ajiriwa kwasiku 10000 jumla kwasiku una 25000 zidisha kwa mwenzi 750000 hii toa matumizi kwamwenzi 150000= 600000zidisha kwa 12=7200000 hii ela toa 1000000 inabaki 6200000 ×7 jibu utakalo pata fananisha nakaratasi ambalo utapewa baada yakusoma alafu urudi mtaani uanze kuishi kama Mimi ambae ninaandika ujumbe huu nikiwa nimeweka cheti ambacho nimekininua kwamda wangu na ada zangu alafu sahivi ninaishia kupika karanga nakutembeza mamaeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…