Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Eng. Nawewe una beti?Nakupa ngao 5 na nyota tatu, wewe ume expert kwenye betting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eng. Nawewe una beti?Nakupa ngao 5 na nyota tatu, wewe ume expert kwenye betting
Umemsahau MamelodiKumbe unaifanyia promo soka bet ila unajizungusha zungusha.
Kwa wale wanao bet kwa msim huu team za kubetia mpaka sasa ni kama ifuatavyo, ukienda tofauti shauri yako...
Huyo sinaga iman nae sanaUmemsahau Mamelodi
DaahKumbe unaifanyia promo soka bet ila unajizungusha zungusha.
Kwa wale wanao bet kwa msim huu team za kubetia mpaka sasa ni kama ifuatavyo, ukienda tofauti shauri yako.
Natudia kwa msimu huu mpk kufikia sasa team za kubetia ni kama ifuatavyo
1. Bayer Leverkusen win kama unatamaa mpe win and over 1.5 odd zake anapewa nzuri.
2. Chesterfield win, odd hii team ni ya national ligi UK.
3.ipswich, frankfurt, ww kiusalama wape wafunge goli kuanzia moja tu hawakuangushi.
4. Raith rovers huyu yupo Scotland mpe win hata ukikuta kapewa odd ya 3+
5.jahn regensburg win huyu yupo Germany
6. Leicester win kama una masahka weka 12 uhakika.
7.stockport win huyu yupo UK league Two
8.crotone win, hii team ipo Italy serial B.
Hii team ukiona ipo home ipe win kama ipo away achana nayo.
9. Girona win kubwa sana ukiona una mashaka mpe afunge goli tu uhakika
10.bromley huyu mwamba akiwa hom mpe win kama yupo away mpe afunge goli kuanzia 1.. yupo national league UK.
11.winterthur huyu mwamba mpe afunge goli tu hakuangushi yeye hata afungwe lazima apate goli.
12.sonderjske huyu mwamba yupo dernmark 1st division , huyu mwamba hata mpe win and 2.5 na odd yake utakuta 2+ mpe usiogope kabsa.
13.aston villa mechi yoyte ile akiwa hom ww mpe ushindi.
Mwisho kabsa me sibeti team maarufu zinazojulikana lkn unaweza bet hivi
Simba mpe GG
Madrid win
Liverpool akiwa hom win
Kwasas Liverpool,man city na arsenal wape ushindi tu wote wanautaka ubingwa hawatodonsha sana point
Hujui kubetWatu wengi wakisikia neno bet, moja kwa moja wanahuisha na mpira wa miguu, ni kweli wapo sawa ila betting siyo kwenye mpira wa miguu tu hata kwenye michezo kama cricket, basketball, ngumi na michezo mengine, Embu tungalie kwa upande wa mpira wa miguu ambo unaongoza kwakua na mashibiki wengi duniani. Kwa hapa Tanzania kuna makampuni mengi yanayo jihusisha na mechezo ya kubahatisha/bahati nasibuu mfano wa makampuni hayo ni Pamoja na sokabet, Tuangangalie kwa upande wa sokabet. Ukifuata hatua hizi utaweza kuwa unashinda katika ubashiri utakaofanya kila siku
1. usiweke mechi nyingi kwa mkeka mmoja/ticket. Hii ni kwasababu unapoweka mechi nyingi katika mkeka mmoja unapunguza uwezekano wa wewe kushinda. Japo kuwa wengi wanawaza kupata hela nyingi lakini wanasahau kuangalia uwezekano wa kushinda. Ni kweli kwamba ukiweka mechi nyingi ndio hela inaongezeka ila uwezekano wakushinda unapungua, ndiyo maana wenye makampuni hawaruhusu kubeti/kutandika mkeka wa mechi moja .angallia mfano hapo chini
2. Zijue timu unazozibetia/ ambazo unazitabiria : kujua timu kabla ya kubeti ni jambo muhimu sana kwa sababu kunatimu ni mahasimu sana katika ligi fulani. Kwa mfano ligi kuu vodacom wakicheza simba na yanga, hata kama simba akiwa anashika nafasi za mwishoni katika ligi hatakubali kufungwa kirahisi na yanga kwa hiyo mechi itakua naupinzani mkali. Mara nyingi zikikutana timu kama hizi matokeo huishia kuwa droo/draw au utofauti mdogo wa magoli. Pia kingine atika kuzijua timu jaribu kuangalia kama kuna timu ni kibonde wa mwingine. Kwa mfano asernal ni mteja wa man united mara kwa mara, kwahiyo jaribu kuangalia nani anamfunga mwenzake mara kwa mara kisha mpe.
3.usibetie timu kwa sababu ya ushabiki: hiki ni kitu cha kuzingatia kwani wengi wwamekua wakibet kwa sababu tu ya mapenzi ya katika timu fulani. Ushauri ni bora usibetie timu unayoipenda kama uwezi kazuia hisia zako, kwani hisia zinamzuia mtu kuichambua timu anoyo ishabikia
4.Angalia goal differences/ tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa: ni vizuri kuangalia tofauti ya magoli kwa zile timu ambazo unataka kuzibetia na hii ni nzuri hususani kwa wale ambao watakua wanabeti kama timu zote zitafunga. Kwa mfano kama timu inamagoli mengi ya kufunga kuliko ya kufungwa ni wazi kwamba timu hii haifungwi mara kwa mara kwa hiyo ikikikutana/kucheza na timu ambayo ina magoli mengi sana ya kufugwa kuliko ya kufunga, hii inaonyesha kuwa hii timu itafungwa bila yenyewe kufunga kwahiyo kama uliweka both team will score “yes” huo mkeka utakua umechanika.
NB: hii haimanishi kwamba itakua hivyo kwa mechi zote ila ni kwamba uwezekano mkubwa/ possibility ipo hivyo
5. Usibet mechi zaidi ya tatu: Na maanisha kuwa the more teams the greatest possibility to lose but the less teams the greatest possibility to win. Watu wengi wanakosea. Huandaa mkeka wenye idadi kubwa ya mechi matharani mechi 8; 10; 12; 15 wengine hadi 20 na huweka sh. 500 au sh.100 na wakitegemea kula mamilioni ya pesa. Ndugu zangu hizo ni ndoto za mchana. Bora hiyo sh.500 au hiyo buku ungenunua vocha. Haiwezekani na mara nyingi watu huliwa kila siku. Wengine huchagua list kubwa ya big team kama barca; real madrid; bayern; psg; juventus ambazo zinapewa possibility kubwa ya kushinda. Lakini team hizi hupewa odds (point) ndogo sana kama 1.11; 1.03; 1.20 ila kwa kampuni kama sokabet odds huwa kubwa sana.
Betting ni hesabu kubet kwenye mkeka mmoja timu 10 kushinda ni mara chache maana probability ni ndogo sana karibia sifuri...Betting hata ukiweka mechi moja.. Hakuna uhakika WA kula.. Kinachokusumbua ni ujinga. Unaweza kuweka mechi mbili au 3 na zote zikachana au ikachana moja.. Betting ni ngumu kuliko hata kazi Ya kilimo...
Hao watakuwa man U [emoji23][emoji23][emoji23]Mzee.. unaweza bet hata live.. dk ya 88 unajua kbs hapa hela ipo na unatia double chance..
Refa wengine sijui wanakuwaje.. anaongeza dk 10+.
Goli zinarudi na anaongezewa.
Kilimo cha kwenye majarubq Ni balaaBetting hata ukiweka mechi moja.. Hakuna uhakika WA kula.. Kinachokusumbua ni ujinga. Unaweza kuweka mechi mbili au 3 na zote zikachana au ikachana moja.. Betting ni ngumu kuliko hata kazi Ya kilimo...
Mimi naangalia odds Ile ndogo ndo nabetWatu wengi wakisikia neno bet, moja kwa moja wanahuisha na mpira wa miguu, ni kweli wapo sawa ila betting siyo kwenye mpira wa miguu tu hata kwenye michezo kama cricket, basketball, ngumi na michezo mengine, Embu tungalie kwa upande wa mpira wa miguu ambo unaongoza kwakua na mashibiki wengi duniani. Kwa hapa Tanzania kuna makampuni mengi yanayo jihusisha na mechezo ya kubahatisha/bahati nasibuu mfano wa makampuni hayo ni Pamoja na sokabet, Tuangangalie kwa upande wa sokabet. Ukifuata hatua hizi utaweza kuwa unashinda katika ubashiri utakaofanya kila siku