Achaa tamaa weka timu chache ushinde bet

Kubeti ni bahati tu kuweza kula kuna watu kwa sh 100 wamekula milion 37 kwa machanguo ya mechi 30+ sahihi, na kuna weng
ine single bet tu hutoboi, lakini kwenye uwezekano umeandika jambo sahihi lakini bado si hakika, maana nna beti zaidi ya miaka 10 sasa bado sijaona jambo la hakika 100% .loote huweza kutokea lakini kuna namna ukibeti risk ya kuchana mkeka inapungua tu
 
Kubet hakuna formula,, kwenye betting uwezekano wa wew kushinda ni mdogo sana kampuni ina asilimia kubwa sana ya kukula hela yako

Mpira unamambo mengi sana Kwamfano timu kubwa inacheza na timu ndogo (wew unaipa win timu kubwa) mechi inaanza tu timu kubwa mchezaji anapewa kadi nyekundu unakukuta inatoa droo hata kufungwa kabisa,,au dakika za mwisho timu ndogo inapewa penat aya football betting ni pasua kichwa,,

et watu wanasema dr leak kakatazwa kubet wewe acheni kudanganyana

Nb; kushinda bet ni bahati tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah
 
Hujui kubet

Kiufupi wewe ni mshamba Tu

Watu wanampasua kwa mechi hata 40 unaongea nn wewe

Au unataka ushahid
 
Betting hata ukiweka mechi moja.. Hakuna uhakika WA kula.. Kinachokusumbua ni ujinga. Unaweza kuweka mechi mbili au 3 na zote zikachana au ikachana moja.. Betting ni ngumu kuliko hata kazi Ya kilimo...
Betting ni hesabu kubet kwenye mkeka mmoja timu 10 kushinda ni mara chache maana probability ni ndogo sana karibia sifuri...
 
Mnashindwa hata kufanya Hivi tu. Huu mkeka ulikuwa wa laki 3 na 84. Ikaja cash out hiyo Kwa stake ya 500 chap nikaitoa.. Na zilikuwa zimebaki mechi 3 ikachana moja Lkn me nilishachukua changu
 
Betting hata ukiweka mechi moja.. Hakuna uhakika WA kula.. Kinachokusumbua ni ujinga. Unaweza kuweka mechi mbili au 3 na zote zikachana au ikachana moja.. Betting ni ngumu kuliko hata kazi Ya kilimo...
Kilimo cha kwenye majarubq Ni balaa
 
Huwezi kufundisha ujasiriamali huku huna hata duka,WEKA MIKEKA YAKO TUONE
 
Mim Mimi naangalia odds Ile ndogo ndo nabet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…