Achaa tamaa weka timu chache ushinde bet

KANJI nae mchawi tuu

Unakuta

Unaplan kuweka timu Moja unajikuta umeweka tatu alafu hzohzo mbil ulizoziongeza ndio zinachana,πŸ˜ƒ
 
Kuna option ya over 8.5 first set tennis .Hiyo utatafuta mpaka utachoka.Wanigeria walikuwa wanamtungua Kanji hadi sio poa.
 
Unajiachia zako tamaa halafu unaweka Man city, Galatasaray na Barcelona wote Win stake high chamoto unakiona.
Betting haina cha team chache wala kuchambua inakupiga right and left
 
Betting Haina kanuni, Jana niliwapa ushindi Atletico Madrid, Real Madrid na Bayern Munich hatahivyo mechi zote zikanilaza kapa, wakati majuzi nilitabiri ushindi wa timu 15 zote nikapatia hivyo nikapata pesa
 
Nigawie buku MBILI na mimi ni BET

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kuna option ya over 8.5 first set tennis .Hiyo utatafuta mpaka utachoka.Wanigeria walikuwa wanamtungua Kanji hadi sio poa.

Unasemea iyo amaπŸ€·πŸ½β€β™‚οΈ
 
Upumbavu mtupu. Haya maandishi ungeelezea hata kilimo cha ufuta au jambo lingine lenye manufaa kuliko huu ushuzi unaozidi kuwafukarisha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…