Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga miguu hapa maana miguu ndio itakayompeleka huko atakapopachaguaAende kule anakopendelea yeye ili asije kulaumu mtu kwenye ufaulu
😂😂😂 Sawa wagholaNaunga miguu hapa maana miguu ndio itakayompeleka huko atakapopachagua
Aree wang'u wantrintri..[emoji23][emoji23][emoji23] Sawa waghola
Uzuri kwenye Nini ?yeye anaulizia kwa uzuri ipi ni nzur sabab yy alikua anatak MD lakin amepat BMLS na architecture so ajui akasome ipi
Ukienda kwenye maslahi bila kutumia akili nyingi aende hiyo medical laboratory Ila Kama anataka maslahi kwa kutumia akili nyingi basi aende ardh anaweza kuwa na pesa ndefu kupita hata MD ndio maana tunasema inategemea yeye kichwani mwake Kuna Nini?Uzuri na maanish maslahi
Asante kwa ushauliUkienda kwenye maslahi bila kutumia akili nyingi aende hiyo medical laboratory Ila Kama anataka maslahi kwa kutumia akili nyingi basi aende ardh anaweza kuwa na pesa ndefu kupita hata MD ndio maana tunasema inategemea yeye kichwani mwake Kuna Nini?
Samahani mkuu,hivi pesa nyingi kwa hii take home ya MD ambayo haifiki hata mil moja? Au kuna maslahi mengine tofauti.?Ukienda kwenye maslahi bila kutumia akili nyingi aende hiyo medical laboratory Ila Kama anataka maslahi kwa kutumia akili nyingi basi aende ardh anaweza kuwa na pesa ndefu kupita hata MD ndio maana tunasema inategemea yeye kichwani mwake Kuna Nini?
mimi kama kaka yako nakushauri nenda kasome bsc in medical laboratory..maana tunajua ajira ni ngumu ndio ila kidogo vijihospitali ni kila siku vinafunguliwa mitaani , serikalini, sijaona watu wa lab wakikaa sana mitaani dogo, ila archtecture mdogo wangu ndio wapo wanaopata ila kuna msoto flani maana maakmpuni ya ajira kama hizo yanafunguliwa na ni machache kwa hiyo mtu mmoja anaweza kuajiriwa kwenye kampuni hat amoaka astaafu ,Habari zenu ndugu yangu amechaguliw kusom bachelor of medical lab muhimbil na bachelor of architecture udsm kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
UDSM na muhas wameshatoa majibu kwa walioappy mwaka huu ?Habari zenu ndugu yangu amechaguliw kusom bachelor of medical lab muhimbil na bachelor of architecture udsm kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
Ni fedha sana mkuu kwa mwenye akiliSamahani mkuu,hivi pesa nyingi kwa hii take home ya MD ambayo haifiki hata mil moja? Au kuna maslahi mengine tofauti.?
Duh PCB anavigezo kweli vya kusoma iyo koz kweli?????iyo koz c ya watu wenye pure auHabari zenu ndugu yangu amechaguliw kusom bachelor of medical lab muhimbil na bachelor of architecture udsm kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
Toa ushauli kam unajua sana kiswahil nenda kafundish chinaTanzanians bana
Eti "ushauli"
Halafu bwege kama hili likimuona Mkenya au taifa lingine akiongea Kiswahili eti "hujui" Kiswahili and blah blah
Kumbe jinga halijui tofauti ya "r" na "l"
Tujivunie Kiswahili halafu ndio tuongea huu uozo?
Mtu akiongea Kingereza bwege kama hili linatanua midomo eti sisi sio Waingereza tuongee Kiswahili tu,na Kiswahili chenyewe halijui.
Sijui nini tunawezaga Watanzania,kila kitu hadi Kiswahili tunafeli
Mnavyoongea kama ajira mnatoa nyie vile[emoji23][emoji23][emoji23]...Ukienda kwenye maslahi bila kutumia akili nyingi aende hiyo medical laboratory Ila Kama anataka maslahi kwa kutumia akili nyingi basi aende ardh anaweza kuwa na pesa ndefu kupita hata MD ndio maana tunasema inategemea yeye kichwani mwake Kuna Nini?
1.alikuwa na division ngapiyeye anaulizia kwa uzuri ipi ni nzur sabab yy alikua anatak MD lakin amepat BMLS na architecture so ajui akasome ipi