Achana na kufungua status za watu utamaliza MB zako bure

anti-Glazer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
291
Reaction score
482
Ni hela zao wanatafuta kwa jasho lao tusiwapangie matumizi ila kwangu Mimi binafsi nawashangaa sana hao watu waoweza kutumia insta, facebook, tiktok pamoja na wale wa whasatsap status, aisee! Kwakweli Mimi nawapa salute kabisa, maana nikiangalia mb jinsi zinavyoliwa siku hizi halafu mtu anashinda kwenye hiyo mitandao 24hrs, aisee! Hongera zao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta hela kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…