Achana na kufungua status za watu utamaliza MB zako bure

Achana na kufungua status za watu utamaliza MB zako bure

Ni kweli kabisa huwezi kupost nje ya unavyofikiri....hata kama mwanamke ni Kahaba utajua tu kupitia status...kama mtu anajivuna utajua kupitia status...

Na mshamba kadhalika utamjua tu... Mdini utamjua tu...
asee napinga vibaya mno, kwa mujibu wa status zangu na maisha yangu ni vitu viwili tofauti sio mimi tu na watu wanaonizunguka pia nawajua mtandaoni na katika maisha yao ya kawaida
 
Ni kweli kabisa huwezi kupost nje ya unavyofikiri....hata kama mwanamke ni Kahaba utajua tu kupitia status...kama mtu anajivuna utajua kupitia status...

Na mshamba kadhalika utamjua tu... Mdini utamjua tu...
Unajidanganya mkuu...mimi ninachoweka status na maisha yangu ni vitu viwili tofauti kama sio vitatu😃😃😃
 
Nulishamute woooote, ilinichukua muda kumaliza. Sina muda wa kudeal na emotions na stress za watu miye nina zangu, maana sina namna na wala dhamana ya kuwasaidia. Pia, sitaki kuwa prisoner kwenye simu yangu mwenyewe. Kuna watu kila siku status hadi 3, hebu zidisha na contacts ulizonazo, tutaweza wapi?
 
Inategemea na aina ya contact zako....Mimi namba zangu ni kibiashara kwa napost bidhaa zangu ili wateja wangu waone ili wanipe oda......na wakati mwingine na view status ili kama ni kumpongeza au kumpa pole kutokana na maudhui ya kwenye status yake....lengo ni kuongeza ukaribu na cycle yangu na kuonekana najali ili kukuza uhusiano mzuri wa kibiashara na wateja wangu......

Hata hivyo nadhani haya ni mambo binafsi ya mtu kwa vile anavyoona kwa kuwa mtu anaishi ndani ya utashi wake bila kumkwaza mtu.....
 
MBs sio shida zangu.

Naview,, napost.
Nikiamka na upako naweka vifungu vya biblia… nikiamkia naija, naweka viclip vya kina Jonzing boy.

Nikiamka na Man u, twendee kazi.
Nikiamka na memes twende
Atakayenisoma kupitia status, atapoteana balaa. Hana cha maana atakachopata.
 
Mimi naview. Siwezi ongopa kitu.

Lakini wale wa Status za biashara za nguo, magari, viatu, hapana aisee. Nime-mute.

Napendelea sana Status za memes. Zinaniburudisha. We don't have to be serious all the time.
YOLO
 
Wakuu niende kwenye hoja.

Watu wengi wanatuma picha na makablasha mbalimbali Kwenye status page ya Whatsapp. Pia pale Facebook kuna Ile sehem ya stori.

Kule kuna Instagram na maticktok binafsi na kwa ushauri epuka kuvisit kila status. Utamalizamb zako Bure. Fungua favorite status na stori. Kwa ushauri tu.

Pia soma:
- Status za WhatsApp zimekuwa njia nzuri kwa watu mnaojuana kujuzana, kuburudishana, kuelimishana, n.k. Facebook na Instagram hakuna usiri


Ova
ndo kazi ya bando
 
Back
Top Bottom