Achana na kufungua status za watu utamaliza MB zako bure

Achana na kufungua status za watu utamaliza MB zako bure

Nulishamute woooote, ilinichukua muda kumaliza. Sina muda wa kudeal na emotions na stress za watu miye nina zangu, maana sina namna na wala dhamana ya kuwasaidia. Pia, sitaki kuwa prisoner kwenye simu yangu mwenyewe. Kuna watu kila siku status hadi 3, hebu zidisha na contacts ulizonazo, tutaweza wapi?
N kwann unawa-mute.? Kama n hvy c usiwe unaenda kabisa ule upande wa status mana naona kama vile unajitesa mwnyw.
 
Duh aisee umaskini kitu mbaya sana..

Mkuu wengine sisi mida ya mchana tunakula WiFi ya ofisi jioni home ndo tunapitia status za wapendwa wetu na post zao huko me napenda sna cartoon za Tom and jerry na video za wanyama ndege na reels za mademu wa South Africa waki twerk...mbona kwa siku gb 1 inanitosha nainunua 2500 na huko nako ni kumaliza hela?2500 si bia moja hiyo
 
Kuna siku waifu aliniuliza kwamba....
J... mbona hauangalii statas zangu..??
Mimi nikamjubu kwamba....
Kipenzi..... hizo statas ndio nini...??
Akanijibu.... ni jina la demu mpya...🤣
 
Wakuu niende kwenye hoja.

Watu wengi wanatuma picha na makablasha mbalimbali Kwenye status page ya Whatsapp. Pia pale Facebook kuna Ile sehem ya stori.

Kule kuna Instagram na maticktok binafsi na kwa ushauri epuka kuvisit kila status. Utamalizamb zako Bure. Fungua favorite status na stori. Kwa ushauri tu.

Pia soma:
- Status za WhatsApp zimekuwa njia nzuri kwa watu mnaojuana kujuzana, kuburudishana, kuelimishana, n.k. Facebook na Instagram hakuna usiri


Ova
Kabisa aisee zimaliza bando sana hizo
 
Back
Top Bottom