Ni kweli kabisa huwezi kupost nje ya unavyofikiri....hata kama mwanamke ni Kahaba utajua tu kupitia status...kama mtu anajivuna utajua kupitia status...sio kweli kwa asilimia 90 asilimia 10 ni kweli
Hawana lolote,, waongo tu hawa😃😃Kama kawaida Jamii forum wote hawa view status[emoji16]
Nb: mimi pia sipost wala ku view status
asee napinga vibaya mno, kwa mujibu wa status zangu na maisha yangu ni vitu viwili tofauti sio mimi tu na watu wanaonizunguka pia nawajua mtandaoni na katika maisha yao ya kawaidaNi kweli kabisa huwezi kupost nje ya unavyofikiri....hata kama mwanamke ni Kahaba utajua tu kupitia status...kama mtu anajivuna utajua kupitia status...
Na mshamba kadhalika utamjua tu... Mdini utamjua tu...
Unajidanganya mkuu...mimi ninachoweka status na maisha yangu ni vitu viwili tofauti kama sio vitatu😃😃😃Ni kweli kabisa huwezi kupost nje ya unavyofikiri....hata kama mwanamke ni Kahaba utajua tu kupitia status...kama mtu anajivuna utajua kupitia status...
Na mshamba kadhalika utamjua tu... Mdini utamjua tu...
okaysio kweli kwa asilimia 90 asilimia 10 ni kweli
Afu sijawahi kukuona 🤣Ndo nn hii? Inapatikanaje kwenye simu?
Siwezi maliza siku sijafungua reels kama 30.Kule kuna Instagram na maticktok binafsi na kwa ushauri epuka kuvisit kila status. Utamalizamb zako Bure. Fungua favorite status na stori. Kwa ushauri tu.
hizi ni shida za contacts wako 😂Bora. Unakuta mtu anapost viatu 89 mb hazikai.
YOLOMimi naview. Siwezi ongopa kitu.
Lakini wale wa Status za biashara za nguo, magari, viatu, hapana aisee. Nime-mute.
Napendelea sana Status za memes. Zinaniburudisha. We don't have to be serious all the time.
ndo kazi ya bandoWakuu niende kwenye hoja.
Watu wengi wanatuma picha na makablasha mbalimbali Kwenye status page ya Whatsapp. Pia pale Facebook kuna Ile sehem ya stori.
Kule kuna Instagram na maticktok binafsi na kwa ushauri epuka kuvisit kila status. Utamalizamb zako Bure. Fungua favorite status na stori. Kwa ushauri tu.
Pia soma:
- Status za WhatsApp zimekuwa njia nzuri kwa watu mnaojuana kujuzana, kuburudishana, kuelimishana, n.k. Facebook na Instagram hakuna usiri
Ova
Halafu kupitia status za watu unaweza kugundua tabia za watu zilizojificha . Ziwe nzuri au mbaya