DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Acha porojo na kupondea chuo mkuu, kwanza nina wasi wasi na degree yako na pili anaepaswa kutumia choo kwa ustaarabu ni mwanafunzi mwenyewe sio kazi ya chuo. wafanya usafi wanajitahidi kufanya usafi wa vyoo ila shida ni wanafunzi wenyewe wala sio chuo. pia umesomea degree gani hapo UDOM inaonekana kichwani mweupe kabisa hakuna msomi mwenye hoja za kipumbavu kama wewe. unataka ufundishwe hadi kutumia choo kistaarabu na chuo? vitu vingine sio vya kuleta huku ni kujitia aibu tu.
 
Picha
 
Makamu wa chuo afukuzwe haraka
 
wengi wasukuma pale, unategemea nini. Wasukuma mpaka wastaarabike mtangoja sana. Wanajichamba na vikaratasi na mpaka magunzi na hawaelewi. Oga yao yenyewe shida.
 
Kuna vyoo vichafu au Kuna wachafua vyoo waliobobea! Vyoo havijengwi vichafu ,vinachafuliwa!
Nyinyi bado mnaishi mjini kwa zama za kubeba makopo ya maji. Haiwezekani mnaambiwa chuo kikuu hakuna maji ya kutosha vyooni na hawafanyi ukarabati wa miundombinu alafu nyie mnawashangaa wanaotoa hoja.

Mbadilike muache kutumia magunzi chooni. Chuo kikuu kilichopo mji mkuu kinatakiwa kuwa na mifumo sahihi ya maji safi na maji taka. Na kiwe na miundombinu mizuri ya usafi. Ni aibu magonjwa ya uchafu kuanzia chuo kikuu, sasa uswahilini itakuwaje.
 
Maji hamna. Hebu eleza chooni huwa unatumia nini kama sio maji, unatumia magunzi?
Kama maji hawana, usafi wanafanyaje?

Wewe mwenye IQ kubwa mtaalam, tueleze bila maji chooni unasafisha kwa nini.
 
Maji hamna. Hebu eleza chooni huwa unatumia nini kama sio maji, unatumia magunzi?
Kama maji hawana, usafi wanafanyaje?

Wewe mwenye IQ kubwa mtaalam, tueleze bila maji chooni unasafisha kwa nini.
Unazungumzia maji gani hayo mkuu? nenda udom ukaone kila block kuna matenki makubwa mawili ya maji. ishu kubwa hapo ni wanafunzi wenyewe kutojitambua na haiwezekani chuo kikubebe maji hadi chooni ukajisaidie huo utakua ni upuuzi mkuu. Pili; ukisema kuwekwa kwa system za maji mpya ilo sio jambo dogo na linahitaji muda wa kutosha na fedha za kutosha. kukarabati miundombinu kwa kile chuo huwezi kukurupuka tu ukaanza ukarabati inahitaji fedha za kutosha. Tatu; wanafunzi wanashauriwa wanunue vyombo vya kuhifahia maji kama majaba na ndoo ila shida unakuta room nzima hawana ndoo wala jaba sasa unataka chuo kikununulie jaba la maji! unadhani vyoo havitokua vichafu kwa style hiyo?
 
Udoso kama udoso
 
Unawezaje kujua na kuelezea mambo ya UDOM na usiijue udoso, una akili ndogo sana
Thibitisha mimi ni udoso. kwahiyo kuongelea mambo ya udom ndio kua udoso? kweli hii nchi ina vilaza wengi.
 
Thibitisha mimi ni udoso. kwahiyo kuongelea mambo ya udom ndio kua udoso? kweli hii nchi ina vilaza wengi.
Ungekuwa huijui usingejibu hivi, kumbe waijua na uliuliza ni nini? Sasa huoni unajitekenya wewe kamanda.
 
Thibitisha mimi ni udoso. kwahiyo kuongelea mambo ya udom ndio kua udoso? kweli hii nchi ina vilaza wengi.
Habari wakuu wa jf ,nimechaguliwa
UDOM - Diploma in pharmacy
OPEN UNIVERSITY - Bachelor of science in information and communication technology
ST JOSEPH - Bachelor of science with education in bios and chem. je nikasome kozi gani hapo kwa kuzingatia kigezo cha kujiajiri

Unaukumbuka uzi huu kamanda zink, wewe ni kijana mdogo sana Zink
 
Ungekuwa huijui usingejibu hivi, kumbe waijua na uliuliza ni nini? Sasa huoni unajitekenya wewe kamanda.

Unaonekana umetokea vijijini mkuu! kwahiyo kuna uhusiano gan hapo?
 
Unazungumzia maji gani hayo mkuu? nenda udom ukaone kila block kuna matenki makubwa mawili ya maji. ishu kubwa hapo ni wanafunzi wenyewe kutojitambua na haiwezekani chuo kikubebe maji hadi chooni ukajisaidie huo utakua ni upuuzi mkuu.
Kumbe UDOM ukitaka kujisaidia ni kweli unaenda na ndoo ya maji chooni?
Yani 2023 hii chuo kikuu kikubwa wanabeba mkebe wa maji kwenda maliwatoni. Si ndio upuuzi wenyewe unaosemwa hapa. Maana yake na kudeki nako wanapandisha ndoo block za juu.
Pili; ukisema kuwekwa kwa system za maji mpya ilo sio jambo dogo na linahitaji muda wa kutosha na fedha za kutosha. kukarabati miundombinu kwa kile chuo huwezi kukurupuka tu ukaanza ukarabati inahitaji fedha za kutosha.
Wapi nimesema system mpya za maji. Kwani chuo hakikuzinduliwa na mifumo ya maji? Tangu day one hakukuwa na mabomba vyooni mpaka leo hii unahamasisha wanafunzi wachote maji kwenda nayo chooni.

Au hamjui kufanya repair na maintenance mnasubiri chuo kibomoke ndio mjenge upya.
Tatu; wanafunzi wanashauriwa wanunue vyombo vya kuhifahia maji kama majaba na ndoo ila shida unakuta room nzima hawana ndoo wala jaba sasa unataka chuo kikununulie jaba la maji! unadhani vyoo havitokua vichafu kwa style hiyo?
Chuo kikuu kinategemea kufanya usafi wa public toilets kwa maji ya majaba?
Hata sekondari yangu hatukuwahi fanya hivi. Kumbe hali ni mbaya kiasi hiki.
 
Achana nae huyo ni mtoto alianza cho 2021, mo lazima akitetee chuo, hajui kuna watu huifahamu UDOM kuliko hao wanafunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…