DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Miaka mitatu udsm cjawahi kuvikalia vile vyoo vya kukaa.... Chooni mamimavii everywhere
 
Hilo la vyoo siyo UDOM tu ni Tanzania nzima, Mtanzania hana kabisa utamaduni wa kuweka usafi wa vyoo.

Elimu kubwa sana kwa vitendo inahitajika hapo.
Mtanzania ukiwemo na wewe bibie...
 
Kuhusu vyoo ni wanafunzi wenyewe, kama usafi vinafanyiwa kila siku, shida ni wanafunzi wachafu sana, mtu anajua hana maji lakini anafosi kuingia bila maji, huu upuuzi upo sana.
Na sijui kama mlipopita JKT mlielewa somo la usafi.
Kwanini sehemu kama ile vyoo vikose maji?

Hiyo tu vyoo kukosa maji ni upumbavu mkubwa wa watawala.
 
Mie iyo Mtanzania, nilipachikwa tu Utanzania bila kuulizwa.

Mimi Mtanganyika. Nimezaliwa Tanganyika.
Mbona hatukuoni ukiitetea hii Tanganyika ikiliwa na wala urojo, badala yake wewe ndo umegeuka chawa wa wala urojo, au umeonjeshwa urojo bibie..
 
Bila maji ya uhakika yote hayo unayoyazungumzia ni kama ndoto tu.
Hata Kama Kuna maji ya uhakika, wengi walikotoka hawajawahi kutumia hivyo vyoo sasa unategemea mtu wa hivyo atasafisha? Huko makazini (maofisini) sema kuna wanaohudumia vyoo vinginevyo ingekuwa ni vilevile. Majumbani NI yale yale akija mgeni mwingine utatoa darasa hadi unachoka inabidi akitoka kushusha uingie ukamwagie maji. Sasa kama hata majumbani tunalia huo mkusanyiko wa chuo ukoje? Tena chuoni kuna wakuja wengi kweli yaani hata kuchamba wengine hawajui. Kama umemaliza salama shukuru Mungu
 
Mbona hatukuoni ukiitetea hii Tanganyika ikiliwa na wala urojo, badala yake wewe ndo umegeuka chawa wa wala urojo, au umeonjeshwa urojo bibie..
Kwani viazi vya kutengenezea huo urojo vinatokea wapi? Unataka niudhi wateja?

Wewe unaujuwa kwanza urojo au unaongea kijinga tu?

Wewe huna asili ya biashara. Kwenu wapi?
 
Uchafu upo kila sehemu ya mchanganyiko wa watu wengi.

sehemu za umma usafi hauzingatiwi kabisa
 
st joseph vyoo vinanukia kule hamna ujinga uo
Habari wakuu wa jf ,nimechaguliwa
UDOM - Diploma in pharmacy
OPEN UNIVERSITY - Bachelor of science in information and communication technology
ST JOSEPH - Bachelor of science with education in bios and chem. je nikasome kozi gani hapo kwa kuzingatia kigezo cha kujiajiri

Unaukumbuka uzi huu kamanda zink, wewe ni kijana mdogo sana Zink
 
ukute wewe n namba moja kwenda kujisaidia na kakopo ka maji unategemea vyoo viwe visafi...
swala la vyoo kunuka ni nyie siyo chuo kukilaumu
 
Back
Top Bottom