DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Unaonekana umetokea vijijini mkuu! kwahiyo kuna uhusiano gan hapo?
Hii nimetoa kukuthibitishia kuwa ulichaguliwa UDOM na bado unasoma UDOM ndio maana imekuwa rahisi kwako kutetea kuhusu chuo hicho,

Ungekuwa unasoma vyuo vingine kama ulivyoonesha jinsi ulivyochaguliwa usingeijibia UDOM,

Udoso bhana
 
Achana nae huyo ni mtoto alianza cho 2021, mo lazima akitetee chuo, hajui kuna watu huifahamu UDOM kuliko hao wanafunzi.

Hii nimetoa kukuthibitishia kuwa ulichaguliwa UDOM na bado unasoma UDOM ndio maana imekuwa rahisi kwako kutetea kuhusu chuo hicho,

Ungekuwa unasoma vyuo vingine kama ulivyoonesha jinsi ulivyochaguliwa usingeijibia UDOM,

Udoso bhana
Vyuo gani hivyo unavyozungumzia ebu taja kimoja.
 
wengi wasukuma pale, unategemea nini. Wasukuma mpaka wastaarabike mtangoja sana. Wanajichamba na vikaratasi na mpaka magunzi na hawaelewi. Oga yao yenyewe shida.
Hakuna,wagogo ndio mna Tabia ya kunya porini halafu mnachamba na mchanga au magunzi ya mahindi
 
Duh! Nkajua ni Mimi Tu ndio nmeshuhudia Hilo...nkiendaga interview Dodoma najitahid Sana nmalizane kabisa huko nakotoka kweny nyumba za wageni kuliko kwenda kunisaidia kweny vyoo vya chuo...nlishawai fanya mtihani pale informatics aisee vile vyoo Mavi na mkojo viko juu ya masink na ni vyoo vyote ... Vina Mavi na majaba yao hayana maji....Ila serkalin imejitahid kujenga vyoo vya kisasa Sana tatzo vichafu havingaliki...unaweza kuhahirisha kujisaidia hata kama Una tumbo la kuhara...Hicho chuo hamna maji kabisa...na ni km hakuna usimamizi...ni Bora waajiri makampuni ya usafi wawe wanawalipa kama vyuo vingine vinavyofanya...
 
Itoshe kusema haujitambui
 
Uongozi wa Udoso wanabidi wajitafakari

Chooni na bafuni maji yanabidi yasikatike Sasa mwananfunzi abebe ndoo 😎✌️
 
Asee numekumbuka kipindi tupo miaka ya jakaya mwanzon.daah asee UDOM hakina hadhi ya kuwa university kabisa vyoo vichafu,ustaarabu 0 yani ukiwa udom kama unasoma diploma ya mifugo Tu

Ingawaje nilimaliza salama

Tiba kulitulia Sana

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Dodoma kuna shida ya maji,hivyo wanakunya Mav.I magumu sana na yananuk.a sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aiseeeeh...
 
Hilo la vyoo siyo UDOM tu ni Tanzania nzima, Mtanzania hana kabisa utamaduni wa kuweka usafi wa vyoo.

Elimu kubwa sana kwa vitendo inahitajika hapo.
Umehitimu zako sekondari huko kwenu isungangwanda. Unaambiwa umepangiwa kwenda chuo kikuu XX.

Siku ya kwanza hapo chuo unasema uingie chooni unakuta choo cha hessian, wewe kwenu umezoeshwa ku.nya porini au choo cha kulenga shabaha.

Sasa hapo nani wa kulaumiwa wajameni (in magufuli's voice)
 
Wewe utakuwa UDOSO tena kwa uandishi wako huu utakuwa CIVE.

Kamwambie yule rais wenu wa UDOSO ashughulike na kero za wanafunzi, asiwe chawa wa madame roda.

Chanzo cha taarifa mbaya kuibuliwa kuhusu UDOM linaanzia hapo kwenye idara ya fedha, kuna wanafunzi wakidai chuo pesa hamtaki kuwapa.

Baada ya hili mtasikilia lingine, hapatatulia hapo mpaka wanafunzi hao walipwe fedha zao. Si ilianza KUNGUNI, imefuatia VYOO, kitakachofuata unaweza kukihisi?
 
Tulikuwa hapo UDOM mwaka juzi kwenye kongamano la maombi ya kitaifa na Mwalimu Mwakasege,

Tulikuwa tunalala kwenye mabweni ya hicho chuo!
. Aisee tulkaa hapo wiki nzima ila muda wote nilishindwa kabisa kwenda kujisaidia kwenye vile vyoo humo ndani

Niliwaza sana, nikasema mtu mweusi ni laana.
 
Basi umenithibishia nilichomwambia, huyu dogo tayari nimeshamfahamu.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza kuishi kwa starehe sehemu yenye njaa ya chakula ila si kwenye makazi yenye vyoo vichafu. Hakuna kitu nakichukia hapa duniani kama vyoo vichafu
 
Kuhusu vyoo ni wanafunzi wenyewe, kama usafi vinafanyiwa kila siku, shida ni wanafunzi wachafu sana, mtu anajua hana maji lakini anafosi kuingia bila maji, huu upuuzi upo sana.
Na sijui kama mlipopita JKT mlielewa somo la usafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…