Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
| Mwaka wa Uchaguzi | Idadi ya Wabunge wa CHADEMA | Matokeo ya uchaguzi |
| 1995 | 4 | CHADEMA ilipata viti 4 kati ya 269 katika Bunge la Taifa. |
| 2000 | 5 | Ilipata viti 5 na kuongoza halmashauri za wilaya za Kigoma, Karatu, na Tarime. |
| 2005 | 11 | Freeman Mbowe alipata 5.88% ya kura za urais; chama kilipata viti 11 vya ubunge. |
| 2010 | 48 | Dr. Willibrod Slaa alipata 27.1% ya kura za urais; CHADEMA ikawa chama kikuu cha upinzani. |
| 2015 | 73 | Edward Lowassa alipata 39.97% ya kura za urais; chama kilipata viti 73 vya ubunge na kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani. |
Soma tena paragraph ya kwanza ya nyuzi zangu, nimeeleza kwanini nimeacha 2019 - 2021Mbona analysis yako imeacha mwaka 2020 na 2024?
Hivyo vipindi vya nyuma walikua hawachaguani? Au kuna utofauti gani wa sheria za uchaguzi wakati huo na sasa.Kwa sababu mmeshachaguana mkuu
Kuna kukinai,unachepuka kilasiku navumilia unadhani Kuna siku sitaondoka? Peaneni tu mkuu bila kificho Wala bughuzaHivyo vipindi vya nyuma walikua hawachaguani? Au kuna utofauti gani wa sheria za uchaguzi wakati huo na sasa.
Kwahiyo unataka kusema chama kimekinai shughuli za kisiasa?Kuna kukinai,unachepuka kilasiku navumilia unadhani Kuna siku sitaondoka? Peaneni tu mkuu bila kificho Wala bughuza
Kimekinai kulaghaiwa mkuuKwahiyo unataka kusema chama kimekinai shughuli za kisiasa?
Kwani kipindi cha nyuma ambacho CHADEMA ilikua inashinda ilikuwaje? na nini kimebadilika?Unaenda vipi kwenye uchaguzi ambao ccm wameshapanga washindi wao. Kwa nini ukawatoe kafara watu, SI Bora washiriki wenyewe huo UCHAFUZI.
Uongozi umebadilika mkuu... aliyekuwa anakubali kutekenywa na huyu anayejua nini maana ya hakiKwani kipindi cha nyuma ambacho CHADEMA ilikua inashinda ilikuwaje? na nini kimebadilika?
weka na 2020 ili tuwe objective basiTokea usajili wake mwaka 1993 na katika historia ya Tanzania, hakuna chama cha siasa ambacho kimekua kwa kasi bila kurudi nyuma kama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) mpaka pale Magufuli alipoanza kufinya uhuru wa shughuli zake za kiasiasa ili kukidhoofisha kati ya mwaka 2019 - 2021.
Baadhi ya matokeo ya uchaguzi toka mfumo wa vyama vingi ambayo yalisimamiwa na tume ya uchaguzi kutoka 1995 mpaka 2015.
Mwaka wa Uchaguzi Idadi ya Wabunge wa CHADEMA Matokeo ya uchaguzi 1995 4 CHADEMA ilipata viti 4 kati ya 269 katika Bunge la Taifa. 2000 5 Ilipata viti 5 na kuongoza halmashauri za wilaya za Kigoma, Karatu, na Tarime. 2005 11 Freeman Mbowe alipata 5.88% ya kura za urais; chama kilipata viti 11 vya ubunge. 2010 48 Dr. Willibrod Slaa alipata 27.1% ya kura za urais; CHADEMA ikawa chama kikuu cha upinzani. 2015 73 Edward Lowassa alipata 39.97% ya kura za urais; chama kilipata viti 73 vya ubunge na kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani.
Pamoja na tume hii ya uchaguzi isiyo huru, CHADEMA iliendelea kukua kwenye kila chaguzi na kubeba majimbo mengi hasa yale ya mijini kwenye vinyang’a nyiro vya ubunge au kuwa namba mbili kwenye kupata kura na ushawishi kwenye majimbo mengi ambayo chama hakikushinda.
Kupitia chaguzi, CHADEMA iliwaibua na kuwaleta bungeni wanasiasa machachari na wa mfano kama Mnyika, Mdee, Waitara mwita, Heche, Wangwe, Lissu, Msigwa, Kubenea, Zitto, Slaa, Selasini, Dr. Mollel, Gekul, Bulaya, Matiko, Chacha Marwa, Silinde, Joseph Haule, Ndesamburo, Nassari, Mbilinyi na wengine wengi.
Kutokana na trend hii ya ukuaji na mafanikio kwenye chaguzi, kwanini msimamo wa chama kwa 2025 umekua siyo kushiriki uchaguzi kwa kishindo na kurudisha uwakilishi bungeni ambapo miswada ya mabadiliko inaweza kupelekwa ili kubadili sheria za uchaguzi?
Lete majibu yenye hoja au yanayoongozwa na takwimu na siyo mihemuko.
Nawasilisha!
Mjumbe wa baraza - Mwanza!
Nani huyo aliyekua anakubali kutekenywa?Uongozi umebadilika mkuu... aliyekuwa anakubali kutekenywa na huyu anayejua nini maana ya haki
Usiniulize ni nani,labda ni wewe mkuuNani huyo aliyekua anakubali kutekenywa?
Na mbona kwenye uongozi wake ndiyo hao viongozi wa sasa walikuzwa na kushinda majimbo?
Nimeeleza kwa sababu gani sijaweka hapo juu.weka na 2020 ili tuwe objective basi