Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #41
Tuko jukwaani, karibu mkuu uzungumzie chaguzi za serikali za mtaa.Mbona huzungumziii chaguzi za serikali za mitaa?
Mimi leo nimechagua kutojikita huko!
Tuko jukwaani, karibu mkuu uzungumzie chaguzi za serikali za mtaa.Mbona huzungumziii chaguzi za serikali za mitaa?
Hoja mbele, mihemuko waachie watoto wa sekondari, mtu mzima wewe!
Mchakato wa mabadiliko ya sheria unaujua, unaanzia wapi?
Mnawaachia masisiemu kufanya machakato wa mabadiliko ya sheria (ambao kama hufahamu unafanyika bungeni) bila sauti wa uchangiaji wa wanaCHADEMA. Watabadili wanavyotaka wao, and then?
Mambo ya kushangaza sanaJANA NILIKUWA IGOMA, NILIWASIKILIZA SANA VIONGOZI WA CDM,,
HUWEZI AMINI WALIKUWA WANAPGA KAMPENI YA KUCHAGULIWA NA SI KAMPENI YA KUTOSHIRIKI UCHAGUZI...
imgaine heche anasema tutajenga viwanda, tutatoa pensheni kwa kila mtoa mtanzania atakayefka 60+years,tutabadli mfumo wa elimu nk.
sasa nikajiuliza hizi ndo sababu za kutoshiriki uchaguzi?
Wakati huu itachukua viti,279 Chadema.Tokea usajili wake mwaka 1993 na katika historia ya Tanzania, hakuna chama cha siasa ambacho kimekua kwa kasi bila kurudi nyuma kama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) mpaka pale Magufuli alipoanza kufinya uhuru wa shughuli zake za kiasiasa ili kukidhoofisha kati ya mwaka 2019 - 2021.
Baadhi ya matokeo ya uchaguzi toka mfumo wa vyama vingi ambayo yalisimamiwa na tume ya uchaguzi kutoka 1995 mpaka 2015.
Mwaka wa Uchaguzi Idadi ya Wabunge wa CHADEMA Matokeo ya uchaguzi 1995 4 CHADEMA ilipata viti 4 kati ya 269 katika Bunge la Taifa. 2000 5 Ilipata viti 5 na kuongoza halmashauri za wilaya za Kigoma, Karatu, na Tarime. 2005 11 Freeman Mbowe alipata 5.88% ya kura za urais; chama kilipata viti 11 vya ubunge. 2010 48 Dr. Willibrod Slaa alipata 27.1% ya kura za urais; CHADEMA ikawa chama kikuu cha upinzani. 2015 73 Edward Lowassa alipata 39.97% ya kura za urais; chama kilipata viti 73 vya ubunge na kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani.
Pamoja na tume hii ya uchaguzi isiyo huru, CHADEMA iliendelea kukua kwenye kila chaguzi na kubeba majimbo mengi hasa yale muhimu ya mijini kwenye vinyang’a nyiro vya ubunge.
Kupitia chaguzi, CHADEMA iliwaibua na kuwaleta bungeni wanasiasa machachari na wa mfano kama Mnyika, Mdee, Waitara mwita, Heche, Wangwe, Lissu, Msigwa, Kubenea, Zitto, Slaa, Selasini, Dr. Mollel, Gekul, Bulaya, Matiko, Chacha Marwa, Silinde, Joseph Haule, Ndesamburo, Nassari, Mbilinyi na wengine wengi.
Kutokana na trend hii ya ukuaji na mafanikio kwenye chaguzi, kwanini msimamo wa chama kwa 2025 umekua siyo kushiriki uchaguzi kwa kishindo na kurudisha uwakilishi bungeni ambapo miswada ya mabadiliko inaweza kupelekwa ili kubadili sheria za uchaguzi?
Lete majibu yenye hoja au yanayoongozwa na takwimu na siyo mihemuko.
Nawasilisha!
Mjumbe wa baraza - Mwanza!
CHADEMA haishiriki uchaguziWakati huu itachukua viti,279 Chadema.
Baada ya reformsCHADEMA haishiriki uchaguzi
Serikali ya kikomunist 😂 😂 😂 😅Kushiriki uchaguzi ambao kura za raia haziheshimiwi ni kupoteza pesa(kodi) zetu na muda bure.Matokeo hadi watu wafe au waumie ndiyo yatangazwe huwo ni ujinga wa hali ya juu.Ni heri tuwe kama China ijulikane kuliko kuwapumbaza wananchi na uchaguzi feki.
nafkiri hili swala la mageuzi ya sheria zetu hatuaanzi kama vile hatukuwahi anza tukaishia mahaliHoja mbele, mihemuko waachie watoto wa sekondari, mtu mzima wewe!
Mchakato wa mabadiliko ya sheria unaujua, unaanzia wapi?
Mnawaachia masisiemu kufanya machakato wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi (ambao kama hufahamu unafanyika bungeni) bila sauti wala kuwa challenged na upinzani (CHADEMA). Watabadili wanavyotaka wao, and then?
Nakubaliana na wewe, ila hayo ni mambo mawili tofauti.nafkiri hili swala la mageuzi ya sheria zetu hatuaanzi kama vile hatukuwahi anza tukaishia mahali
point hapa tuanzie na rasimu ya jaji warioba
Inasikitisha sanaWanapoteza uhai wa wanachama wao siku ya uchaguzi, wanaibiwa kura live.
Huwezi kutoa hoja yako bila kashfa?Wewe ni likichwa ligumu eee,
After 2015 tuli witness ukiukwaji mkubwa wa sheria za uchaguzi, mamlaka ziliwapiga exile na kuwafanyia vurugu zote.Tokea usajili wake mwaka 1993 na katika historia ya Tanzania, hakuna chama cha siasa ambacho kimekua kwa kasi bila kurudi nyuma kama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) mpaka pale Magufuli alipoanza kufinya uhuru wa shughuli zake za kiasiasa ili kukidhoofisha kati ya mwaka 2019 - 2021.
Baadhi ya matokeo ya uchaguzi toka mfumo wa vyama vingi ambayo yalisimamiwa na tume ya uchaguzi kutoka 1995 mpaka 2015.
Mwaka wa Uchaguzi Idadi ya Wabunge wa CHADEMA Matokeo ya uchaguzi 1995 4 CHADEMA ilipata viti 4 kati ya 269 katika Bunge la Taifa. 2000 5 Ilipata viti 5 na kuongoza halmashauri za wilaya za Kigoma, Karatu, na Tarime. 2005 11 Freeman Mbowe alipata 5.88% ya kura za urais; chama kilipata viti 11 vya ubunge. 2010 48 Dr. Willibrod Slaa alipata 27.1% ya kura za urais; CHADEMA ikawa chama kikuu cha upinzani. 2015 73 Edward Lowassa alipata 39.97% ya kura za urais; chama kilipata viti 73 vya ubunge na kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani.
Pamoja na tume hii ya uchaguzi isiyo huru, CHADEMA iliendelea kukua kwenye kila chaguzi na kubeba majimbo mengi hasa yale muhimu ya mijini kwenye vinyang’a nyiro vya ubunge.
Kupitia chaguzi, CHADEMA iliwaibua na kuwaleta bungeni wanasiasa machachari na wa mfano kama Mnyika, Mdee, Waitara mwita, Heche, Wangwe, Lissu, Msigwa, Kubenea, Zitto, Slaa, Selasini, Dr. Mollel, Gekul, Bulaya, Matiko, Chacha Marwa, Silinde, Joseph Haule, Ndesamburo, Nassari, Mbilinyi na wengine wengi.
Kutokana na trend hii ya ukuaji na mafanikio kwenye chaguzi, kwanini msimamo wa chama kwa 2025 umekua siyo kushiriki uchaguzi kwa kishindo na kurudisha uwakilishi bungeni ambapo miswada ya mabadiliko inaweza kupelekwa ili kubadili sheria za uchaguzi?
Lete majibu yenye hoja au yanayoongozwa na takwimu na siyo mihemuko.
Nawasilisha!
Mjumbe wa baraza - Mwanza!
kama ulikuwepo kichwani mwanguMbona analysis yako imeacha mwaka 2020 na 2024?
Kwahiyo uchaguzi utasusiwa mpaka mamlala zitakapojibadili zenyewe au strategy ni nini? hasa strategy za kubadili sheria za uchaguzi?After 2015 tuli witness ukiukwaji mkubwa wa sheria za uchaguzi, mamlaka ziliwapiga exile na kuwafanyia vurugu zote.
Kama hali hiyo ilijirudia uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa nn waendelee na sheria zilizopo?
Mbona wameshaweka wazi? Si walishiriki serikal za mitaa? Nini kiliwakuta?Kwahiyo uchaguzi utasusiwa mpaka mamlala zitakapojibadili zenyewe au strategy ni nini? hasa strategy za kubadili sheria za uchaguzi?
Miaka ya hivi karibuni hali ya ushindani wa kisiasa imebadilika mno na siasa zimebadilika kwa vyama vya upinzani i .eNani huyo aliyekua anakubali kutekenywa?
Na mbona kwenye uongozi wake ndiyo hao viongozi wa sasa walikuzwa na kushinda majimbo?