SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hili nalo wana Yanga mlitazame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka na hapa mlipenyezewa kimoja cha mapemaaaaMayele ana mechi zake mfano huo apo [emoji116]View attachment 2416308
Na jana licha ya kuchoka lakini kocha aliamua kumuacha.Hili suala linamtesa sana 'mshambuliaji machachari' Mayele. Lakini kwa 'ubora mkumbwa alionao' naimani zile hat trick alizowagonga Zalan zinaenda kujirudia mbele ya Pyramid na TP Mazembe katka group stage ya CAFCC.
Niambie huo msimu ambao alikuwa ni mfungaji bora ni msimu upi huo?Mkuu hakuna mtu anayeumia. Ni suala la kuweka kumbukumbu sawa, ili hata wanetu wakikua watambue kua kuna 'mshambuliaji machachari' aliwahi kupita Yanga SC ambapo msimu wa kwanza alikua mfungaji bora, msimu uliofata alitumia siku 62 (japo siku zinaongezeka) bila kufunga goli hata la offside.
Nyie vilipenya vingapi?Kumbuka na hapa mlipenyezewa kimoja cha mapemaaaa
Niambie huo msimu ambao alikuwa ni mfungaji bora ni msimu upi huo?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Kwani ligi imeisha hawezi kuwa mfungaji bora tena wa Yanga ? Halafu icho unachikiongea wewe hata nsimu uliopita alikaa muda mrefu pasipo kufunga kama sikosei baada ya mechi ya Simba dhidi ya Yanga alipobanwa na Inonga ilimchukua muda mrefu tu kuja kufunga tena goli sasa ajabu ni kipi hapo?Msimu wa 2021/22 alikua mfungaji bora wa 'Mabingwa Watarajiwa wa CAFCC' Yanga SC huku katika NBCPL bila figisu za 'Wale Jamaa' huku nako angeondoka na kiatu cha mfungaji bora.
Haijalishi kama mlipenyezewa mlipenyezewa tuu hamkutoka na clean sheetNyie vilipenya vingapi?
Mwamba huyu hapaHaijalishi kama mlipenyezewa mlipenyezewa tuu hamkutoka na clean sheet
Timu pekee aliyoifunga magoli mawili msimu huu ni SimbaHili suala linamtesa sana 'mshambuliaji machachari' Mayele. Lakini kwa 'ubora mkumbwa alionao' naimani zile hat trick alizowagonga Zalan zinaenda kujirudia mbele ya Pyramid na TP Mazembe katka group stage ya CAFCC.
Ilikua bahati yao tuuuMwamba huyu hapaView attachment 2416624
Kumbe ni kweli haya mambo yapo huko Yanga.Hili nalo wana Yanga mlitazameView attachment 2416309View attachment 2416311
Bila kusahau magoli ya mamakambo + kishindwa + molokoko hayafikii yale ya mzungu Dejani japo alishaondoka siku nyingiChukua magoli ya msimu huu ya John Bocco , changanya na ya Kibu Denic alafu katiakatia na magoli ya Okwa bado hawamfikii Clement Mzinza [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]....!!!!!
Hii nayo ni aina nyingine ya aibu
Kwako studio, tunaomba mrejesho hukuLeo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda kutuvusha group stage ya CAFCC mbele ya Pyramid na TP Mazembe.
Wanayanga kipindi 'tunaendelea' kuhesabu ile rekodi yetu ya unbeaten katika NBC PL, tukumbuke kuhesabu na hii rekodi ya mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele.
NB: Nashauri mechi ijayo ya NBC PL (17/11/2022) dhidi ya Singida Big Stars (tawi letu), tusimame na kupiga makofi katika dk ya 46 na 66 ili kuzienzi rekodi zetu zifuatazo:-
1. Yanga SC kucheza mechi 46 bila kupoteza mechi.
2. Fiston Mayele kutimiza siku 66 tangu mara ya mwisho alipofunga goli katika NBC PL.
View attachment 2415888
View attachment 2415890
Mbona kimya?Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda kutuvusha group stage ya CAFCC mbele ya Pyramid na TP Mazembe.
Wanayanga kipindi 'tunaendelea' kuhesabu ile rekodi yetu ya unbeaten katika NBC PL, tukumbuke kuhesabu na hii rekodi ya mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele.
NB: Nashauri mechi ijayo ya NBC PL (17/11/2022) dhidi ya Singida Big Stars (tawi letu), tusimame na kupiga makofi katika dk ya 46 na 66 ili kuzienzi rekodi zetu zifuatazo:-
1. Yanga SC kucheza mechi 46 bila kupoteza mechi.
2. Fiston Mayele kutimiza siku 66 tangu mara ya mwisho alipofunga goli katika NBC PL.
View attachment 2415888
View attachment 2415890
We Maku upo?Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda kutuvusha group stage ya CAFCC mbele ya Pyramid na TP Mazembe.