Achana na rekodi ya 'Unbeatean', Wanayanga hii rekodi pia 'Tuishi Nayo'

Na uchawi wake wakugusa nyavu za mpinzani kabla ya mechi umeisha nguvu.
 
Hili suala linamtesa sana 'mshambuliaji machachari' Mayele. Lakini kwa 'ubora mkumbwa alionao' naimani zile hat trick alizowagonga Zalan zinaenda kujirudia mbele ya Pyramid na TP Mazembe katka group stage ya CAFCC.
Na jana licha ya kuchoka lakini kocha aliamua kumuacha.
 
Niambie huo msimu ambao alikuwa ni mfungaji bora ni msimu upi huo?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Niambie huo msimu ambao alikuwa ni mfungaji bora ni msimu upi huo?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app

Msimu wa 2021/22 alikua mfungaji bora wa 'Mabingwa Watarajiwa wa CAFCC' Yanga SC huku katika NBCPL bila figisu za 'Wale Jamaa' huku nako angeondoka na kiatu cha mfungaji bora.
 
Msimu wa 2021/22 alikua mfungaji bora wa 'Mabingwa Watarajiwa wa CAFCC' Yanga SC huku katika NBCPL bila figisu za 'Wale Jamaa' huku nako angeondoka na kiatu cha mfungaji bora.
Kwani ligi imeisha hawezi kuwa mfungaji bora tena wa Yanga ? Halafu icho unachikiongea wewe hata nsimu uliopita alikaa muda mrefu pasipo kufunga kama sikosei baada ya mechi ya Simba dhidi ya Yanga alipobanwa na Inonga ilimchukua muda mrefu tu kuja kufunga tena goli sasa ajabu ni kipi hapo?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hili suala linamtesa sana 'mshambuliaji machachari' Mayele. Lakini kwa 'ubora mkumbwa alionao' naimani zile hat trick alizowagonga Zalan zinaenda kujirudia mbele ya Pyramid na TP Mazembe katka group stage ya CAFCC.
Timu pekee aliyoifunga magoli mawili msimu huu ni Simba

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Chukua magoli ya msimu huu ya John Bocco , changanya na ya Kibu Denic alafu katiakatia na magoli ya Okwa bado hawamfikii Clement Mzinza [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]....!!!!!
Hii nayo ni aina nyingine ya aibu
Bila kusahau magoli ya mamakambo + kishindwa + molokoko hayafikii yale ya mzungu Dejani japo alishaondoka siku nyingi

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kwako studio, tunaomba mrejesho huku
 
Mbona kimya?
 
We Maku upo?
 
Mayele alikuwa likizo lakini still ndiye top score wa NBC [emoji16][emoji16] makolo na wachambuzi wenu wa mchongo mnatapa mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…