High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Kampuni ya Audi ni kampuni ya magari ya kijerumani inayotengeneza magari ya Aina mbalimbali ni kampuni ya kijanja Kwa kijana na mtu anayejielewa Kwa bongo hapa IST imekuwa gari ya taifa [emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbadala wake ni Audi A1 gari Safi Kwa Bei Safi na toleo la hivi karibuni.
Kama Una ndoto ya kumiliki Toyota IST Bora ukanunua Audi A1 hutajuta
Kama Una ndoto ya kumiliki Toyota IST Bora ukanunua Audi A1 hutajuta