High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
1,390cc ndio injini yake mafuta inanusa Tu zaidi ya IST huku kukiwa na mifumo ya umeme ya kijanja kabisaMbona hujaweka size ya injini. Hii inanusa au inapuliza mafuta. IST inanusa ndio maana tunaipenda wese kidogo trip kibao.
I think umewalenga wanaonunua Ist new model maana hiyo ndio at least bei yake inalingana na hii ila you get value for money kwenye audi a1 kuliko kwenye hiyo IST new model...Kampuni ya Audi ni kampuni ya magari ya kijerumani inayotengeneza magari ya Aina mbalimbali ni kampuni ya kijanja Kwa kijana na mtu anayejielewa Kwa bongo hapa IST imekuwa gari ya taifa [emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbadala wake ni Audi A1 gari Safi Kwa Bei Safi na toleo la hivi karibuni
Kama Una ndoto ya kumiliki Toyota IST Bora ukanunua Audi A1 hutajuta View attachment 2072547View attachment 2072548
Hebu tuchukue Audi A1 ambayo ina engine ya 1.4L Turbo halafu direct injection(FSI). Inaproduce 122HP tofauti na IST ambayo inaproduce 104HP with 1.5L.Mbona hujaweka size ya injini. Hii inanusa au inapuliza mafuta. IST inanusa ndio maana tunaipenda wese kidogo trip kibao.
Dunia kijijiSpea zinapatikana wapi?
Ya kawaida kabisa kiongozi [emoji23][emoji23][emoji23] hamna shidaBei?
Kumbe inahimilikaUshuru wake year 2011View attachment 2072675
Ushajua huko ujeruman inauzwaje?Kumbe inahimilika
Utakakonunua gari ndiko ziliko. Yaani Wabongo hamuogopi kuagiza magari ila mnaogopa kuagiza spare🤣🤣🤣Spea zinapatikana wapi?
Mifumo ya umeme ukimaanisha Ni hybrid au EV?1,390cc ndio injini yake mafuta inanusa Tu zaidi ya IST huku kukiwa na mifumo ya umeme ya kijanja kabisa
Unaiua gearbox ya IST ukiwa unafanya Nini?I think umewalenga wanaonunua Ist new model maana hiyo ndio at least bei yake inalingana na hii ila you get value for money kwenye audi a1 kuliko kwenye hiyo IST new model...
Urahisi wa ist new model ni kwenye kupatikana spea ila bei ya spea bado ni mlima.
Ukiua gearbox andaa 2m kwenye hiyo IST new model...Hapo sijapigia hesabu hela ya ufundi plus laki 2 na upuuzi ya kununua Oil ya CVT gearbox....
Motivational speakers hua wanasema kirahisi Sana nitaagiza spea online Gari ikizingua, dunia imekua Kijiji.lUtakakonunua gari ndiko ziliko. Yaani Wabongo hamuogopi kuagiza magari ila mnaogopa kuagiza spare🤣🤣🤣