Achana na Toyota IST chukua huyu mnyama

Hiyo ni nadra kutokea.huko kwenye audi haiwezekani kuwekewa hiyo gear box isiyoyenyewe ila kwenye ist ndiyo inawezekana kirahisi.Tunazungumzia parts zinazokufa regulary upatikanaji wake ukoje na bei baina ya hayo magari.uki miliki gari ndiyo utanielewa ninachouliza
 
wao walipachika ile size ya engine ya uongo, ni sawa na kuna Benz E 500 ambayo ni V8 na ina CC 5... jamaa wamendika ina 2000.. ukicheki pale ndio wanajidai typinge error wanaanza kukushawishi upyaa, madalali wengi janja sanaa
Ndo hivyo bhana... So hapo asiyejua magari ataweka kiweze cha 10 ubungo anajua atatoboa kibaha....

Atashangazwa....
 
Upo vizuri kwa analysis na kuyajua mavyombo ya wazungu!!
 

Audi watu wengi hawaweki oil kwa kila fundi...


At least mtu anaangalia sehemu ya kufanyia service gari yake.

Hiyo ya IST kumix Oil siyo story niliyosikia kwa mtu... Ni watu nakutana nayo mara nyingi sana....

Kuna Oils ukiweka kwenye hizo gearbox za CVT kitendo cha kumaliza kuweka Oil gari inakuwa haina hata uwezo wa kupanda kajiwe kadogo.
 
Tena kama Toyota IST toleo jipya kuanzia 2008 Hadi 2016 ndio mwisho WA kuzalishwa bei kubwa ndani mazagazaga machache Bora uende Kwa mjerumani unapata bei kawaida mazagazaga mengi ya kijanja kijanja
 
Mkuu nadhani ni utunzaji wa mtu, Kuna Convertible zimetunzwa na zinafanya kazi kwa Zaidi ya Miaka 20 zipo hapa Bongo.
Najua.

Ninachoongelea ni kuchafuka kwa ndani ya gari kwa vumbi. Hata gari ya kawaida, ukishusha kioo tu, unakula knobs zimeshaanza shika vumbi. Sasa ukishusha paa lote ndo utajua hujui.
 
Tena kama Toyota IST toleo jipya kuanzia 2008 Hadi 2016 ndio mwisho WA kuzalishwa bei kubwa ndani mazagazaga machache Bora uende Kwa mjerumani unapata bei kawaida mazagazaga mengi ya kijanja kijanja
Hizi gari bado zipo chache sana sokoni af bei mkasi....

Kodi tu 9.5m....
 
Najua.

Ninachoongelea ni kuchafuka kwa ndani ya gari kwa vumbi. Hata gari ya kawaida, ukishusha kioo tu, unakula knobs zimeshaanza shika vumbi. Sasa ukishusha paa lote ndo utajua hujui.
Kuna Wazee wa Kwa Madiba, ninawajua Wapo smart sana miaka ya 2000 walikuja na Benz Convertible na Mpaka sasa Wana CLK Benz Convertible gari zao Safi na huwa wakiwa mitaani wanafungua inakuwa wazi.
 
Audi ni gari nzuri.. Hizi ni gari za 'Continental Europe'.. lakini ukiisha inunua ni 'ndoa ya kikristo'.. Huwezi kuiuza kwa haraka kama Toyota..
Bado Toyota iko 'hot' 'at least' kwa TZ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…