Achana na UTT, unazijua "Mutual Funds" za sekta binafsi?

Achana na UTT, unazijua "Mutual Funds" za sekta binafsi?

Nmerudia kupiga upya kwa njia ya vipande nmeona utofauti ila sio mbaya sana kwa 2m kukua ni 800 kwa siku of which sio mbaya kwa mfuko ambao umeanza July tu kwa performance yake unazidi mifuko mingi tu ya UTT

Swali langu jeh sio wakina Kaylinda
ina maana kwa mwaka ni laki 2 na kitu au?
 
Nmechek mkuu hao TIMIZA FUND speed yao ya upandaji wa vipande vyao ni hatari sana yani thamani ya kipande kinapanda kwa 0.04 kwa siku sio zile fursa kweli kikaja kilio.

Maana yake mtu ukiwa na 2,000,000 una wastani wa kupata 80,000 kwa siku
Mmmh ngoja wataalamu waje
Mkuu greater than mbona hukutupitisha humu.
Na wapi wanaweza hizo pesa ni utata pia, private funds nyingi hawasemi ukweli, Mimi pesa yangu Kwa bongo ni bond za serikali tuu, hao default ni almost zero na 25 year bond ni kama 16%, very good money kama hutaki usumbufu, tatizo ni inflation tuu
 
Mutual fund zoteee duniani ni wawekezaji.
Wanachofanya, wanachukua/wanakusanya hela kwa wananchi halafu ile hela wanawekeza sehemu mbalimbali kama Hisa, Fixed, na Governmnet bonds.
Na kiwango cha mgao wako inategemea na bei ya kipande kwa hiyo siku.

Utofauti upo kwenye Kiwango cha kuingilia kwenye mfuko na "minimum amount" ya kununulia hivyo vipande (kuendelea kuwekeza).

Mfano; FAIDA FUND wao unaingilia na 10,000 na kuwekeza kila mara ni 5,000

Kwenye asilimia za faida, Mutual fund zotee TZ riba kwa mwaka hua ni 10% - 13%
Hii ni kutokana na kwamba bado Mutual fund bongo ni jambo geni.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwahio hizi asilimia ni kubwa, ndogo au reasonable tu.
 
H
Hiyo fund ipo kwa ajili ya watu wote si vizur ukaharibu huu uzi, ndo mana nikasema mambo ya dini tafuta uzi mwingine huko upeleke hayo ya udini au anzisha thread yako wenzio watakufata
Halal fund ni kwa ajili ya kudhamini ujenzi wa misikiti na madrasa asa we Pekela hela yako uone kitakochokukuta
 
Kuna hii inatwa INUKA FUND hii ni pacha wa Orbit Security brokers wa DSE naona kama Professor Anna Tibaijuka na Waziri Mkuu mstaafu mzee Warioba wanamkono pale.
 
INTRODUCTION:-
Mpo raia wotee hasa chama langu la KATAA NDOA??
Mmejiandaaje na 23/09 THE REVOLUTION DAY??

BODY:-
Anyway; turudi kwenye mada.

Ukitoa hizi harakati za ""KATAA NDOA"" mimi bana ni msomi, sijui nijiite hivyo??

Ila kifupi nina elimu ya Finance, Economics, and Investment niliyoipatia kwenye Degree na Masters.

Ilikuwa kidogoo niende kusoma PhD duniani huko ila nilighairi na kuamua ""Kutafuta hela kwenye biashara"".
Nakiri wazi ""Napenda hela balaaaa""

Sasa hapa naongea na wale wanaona wao kwao biashara ni risk na kuamua kukimbilia kwenye Passive income.
Ila ndugu zangu hata Active income ""You can make money while sleeping..!!!""
Hivyo msikimbie sanaa biashara.
SCENARIO.
Humu ndani raia huwa wanaongelea sanaa Mutual Fund, ila huongelea mutual fund za taasisi mbili tu
1. 98% Wanaongelea UTT chini ya Wizara ya Fedha
2. 2% Wanaongelea FAIDA FUND chini ya Wizara ya Utumishi kupitia kwa Watumishi Housing.
ila je mnajua kuwa zipo Mutual Fund za Sekta binafsi??

Hizi hapa....
1. Government.
UTT Amins Funds
 Faida Fund

2. Private.
Timiza Fund
Sanlam Investment Fund
 Alpha Halal Fund
Inuka Money Market Fund

CONCLUSION.
Kwanini uwekeze tu kwenye UTT hizi nyengine umezisoma ukazielewa au UNAZIJUA HATA??

Siku zotee kabla hujaamua kufanya jambo, lisome kwanza halafu lielewe, halafu ndio ufanye maamuzi SAHIHI.
Karibuni kwa maswali kuhusu MUTUAL FUND.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwa muda mrefu sana nili pozi kuingia JF ila leo nikasema nipite Jukwa hili hakika mimi sema kweli nilikuwa na juwa hii moja UTT ila hizi zingine ndio umenifungua. Ebu ungezidadavua zaidi ingekuwa bomba sana.
 
Kuna hii inatwa INUKA FUND hii ni pacha wa Orbit Security brokers wa DSE naona kama Professor Anna Tibaijuka na Waziri Mkuu mstaafu mzee Warioba wanamkono pale.
Si mchezo
Lolote litakalo tokea hapo ni kusema tu hewalaaa
 
Back
Top Bottom