Achana na UTT, unazijua "Mutual Funds" za sekta binafsi?

Nmerudia kupiga upya kwa njia ya vipande nmeona utofauti ila sio mbaya sana kwa 2m kukua ni 800 kwa siku of which sio mbaya kwa mfuko ambao umeanza July tu kwa performance yake unazidi mifuko mingi tu ya UTT

Swali langu jeh sio wakina Kaylinda
ina maana kwa mwaka ni laki 2 na kitu au?
 
Na wapi wanaweza hizo pesa ni utata pia, private funds nyingi hawasemi ukweli, Mimi pesa yangu Kwa bongo ni bond za serikali tuu, hao default ni almost zero na 25 year bond ni kama 16%, very good money kama hutaki usumbufu, tatizo ni inflation tuu
 
Kwahio hizi asilimia ni kubwa, ndogo au reasonable tu.
 
H
Hiyo fund ipo kwa ajili ya watu wote si vizur ukaharibu huu uzi, ndo mana nikasema mambo ya dini tafuta uzi mwingine huko upeleke hayo ya udini au anzisha thread yako wenzio watakufata
Halal fund ni kwa ajili ya kudhamini ujenzi wa misikiti na madrasa asa we Pekela hela yako uone kitakochokukuta
 
Kuna hii inatwa INUKA FUND hii ni pacha wa Orbit Security brokers wa DSE naona kama Professor Anna Tibaijuka na Waziri Mkuu mstaafu mzee Warioba wanamkono pale.
 
Kwa muda mrefu sana nili pozi kuingia JF ila leo nikasema nipite Jukwa hili hakika mimi sema kweli nilikuwa na juwa hii moja UTT ila hizi zingine ndio umenifungua. Ebu ungezidadavua zaidi ingekuwa bomba sana.
 
Kuna hii inatwa INUKA FUND hii ni pacha wa Orbit Security brokers wa DSE naona kama Professor Anna Tibaijuka na Waziri Mkuu mstaafu mzee Warioba wanamkono pale.
Si mchezo
Lolote litakalo tokea hapo ni kusema tu hewalaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…