Achana na wanawake wa kichaga, kuna hawa wanawake wa kisukuma (wanyantuzu) hawa mmmmh hatari sana

Kwamba nyani haoni kundule, hajui tupo Me ambao Ke weusi ndiyo ugonjwa wetu?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Wasukuma wanyantuzu hawauwi wanaume kisa mali , wanadharau sana , wapenda ushirikina sana hasa kwenye kutafuta mali wako radhi kuua , wanapenda wanawake weupe na wanaweza kukufanyia ubaya na usijue kama ni yeye maana anakuoneshea upole kumbe mbaya sana , kingine wanatabia ya wivu anaweza kukuuzia kiwanja ila akiona umejenga nyumba nzuri kuliko yeye anakuroga .
 
Miaka ya nyuma Pale Tabora kulikuwa na kambi za wakimbizi wa Kitutsi, baadaye wakapewa Uraia na Hayati Mwinyi. ndipo wakaanza kujiita Wanyamwezi na Wasukuma kwa sababu Ukimbizi ni aibu. kwahiyo hao ni Watusti. ni jamii yenye mioyo ya visasi na roho chafu sana. Kapeace
 
ni Watusti hao
 
Wanyantuzu sio wanawake tu, hata wanaume kukuzamisha ardhini ni kitu kidogo kwao
Hapa jirani naishi na mama wa kinyanyuzu tayari,jamaa msoldier tushazika kitambo sana, ni wachawi balaa!...

WAZUNGU WALISHAPITA HUMU KOTE,MPAKA WAKAJA NA NDOA ZA MKATABA,NDOA ZA KUISHI HADI KIFO KIWATENGANISHE NI UJINGA KABISA HUU, NI WAKATI SASA HILI LIJE TANZANIA,MALI ZENU KILA MTU NA CHAKE KIJULIKANE MAPEMA,UPENDO WENDO WENU NDIYO UWASHIKAMANISHE,#MSIGN MIAKA MITATU PLUS ONE BABY ONLY..BAADA YA MIAKA 3,KILA MMOJA NA HAMSINI ZAKE,LAKINI MNAWEZA KU RENEW KISHERIA NA MNAWEZA KUVUNJA UHUSIANO KISHERIA MARA MOJA!
SEREKALI YETU ILIPOKEE HILI KUEPUSHA MAUAJI.
Gwajima DR.
 
Tuendelee kuoa kama kawaida, oeni wanawake bila kujali makabila yao maadamu wana mbunye, ziwe hazijakeketwa au zimekeketwa. Ukiona viashiria vya hatari temana na na mwanamke huyo fasta usije ukauliwa au ukamua. Hakuna maana kuishi na mwanamke mkorofi
Well said
 
Ongeza na wana-Nasa wa hapo Magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…