Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
MARA nyingi sana imekuwa ni kawaida yetu kuwaonya na kuwapa maangalizo juu ya miendendo na porojo za wanaharakati lakini kuna muda mnakuwa vichwa vigumu sana kuelewa na kusikiliza .. Inawezekana ni kwa sababu ya ujinga tu au kutokuelewa
LAKINI tumejitahidi sana kuwaambia kama mnawaamini maneno yao basi " trust then at your own risk".. Kwa nini tunasema hivi ni kwa kuwa wamekuwa wanaipakaza Tanzania mambo ya hovyo sana na kwa mtu ambaye hujui mambo unaweza kusema Tanzania siyo sehemu ya kwenda wala kuisogelea.
NTAANZA NA SUALA LA AFCON
WAnaharakati kwa hasira zao nyingi na nongwa baada ya kushindwa kupindua serikali na kuchochea uasi waliitangazia dunia nzima kuwa Tanzania haifai kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON kwa kuwa hakuna usalama.
Wakafika mahali kupitia Domo Kaya Heche wakasema wataandika barua FIFA na CAF kuwaambia kuwa Tanzania kuna ugaidi na ni hatari sana kwa michezo ya AFCON kufanyika.
LAKINI jana tumemuona Rais wa CAF Bwana Motsepe akiwa na Waziri Mkuu Dr Mwigulu Nchemba wakikutana na kujadili na kumhakikishia kuwa afe kipa afe beki lazima fainali za AFCON 2027 zitapigwa ndani ya Tanzania.
UNAJIULIZA kwani hawa wanaharakati wana shida gani hasa na Tanzania? Ni hizi hizi siasa tu au kuna kitu kingine ambacho tunaweza tukawa hatujui kabisa lakini wao wanakijua na hawataki kukisema.
SUALA LA MISS WORLD 2027
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania mashindano ya Miss World yatafanyika Tanzania kwenye nchi ambayo wanaharakati wanaaminisha watu kuwa hakuna amani na kuna ugaidi yaani mamiss watatekwa na kuuliwa wakithubutu kuja.
Kinyume chake mashindano hayo yanafanyika Tanzania kwa mara ya kwanza na kwenda kuandikwa kwa historia nyingine muhimu sana kwenye taifa hili .
SAFARI ZA BRITISH AIRWAYS
Jana tumeshuhudia habari ya kuwa shirika la ndege la British Airways litaanza safari zake kuja Tanzania na Zanzibar na limezingatia kurudisha safari hizo kwa kuwa ni sehemu muhimu sana ya utalii na kuna wateja wa kutosha.
Ambao hawajui ni kuwa British Airways ilisitisha safari zake kuja Tanzania mwaka 2012 ambayo ni miaka karibu 15. Walisitisha safari zao kwa sababu mbalimbali na nyingi tu.
Lakini leo hii wameanzisha safari upya tena mara tatu kwa wiki kutoka London -Kilimanjaro- Zanzibar.
Hii maana yake nini? Kwa ambao hamuelewi au kwa nyie wanaharakati uchwara hii maana yake ile kempeni yenu ya kuzuia watalii kuja Tanzania imefeli na imekwama vibaya sana. Hii maana yake ni kuwa Tanzania ni salama na Tanzania ni sehemu salama pia kwa mashirika ya ndege ya kiwango cha British Airways kusafirisha abiria bila chenga.
HAYA MAMBO yanatokea siyo kwa bahati mbaya ! Yanatokea kwa kuwa kuna juhudi zinafanywa na serikali na uongozi wa Rais Samia kuitangaza Tanzania kimataifa ndiyo maana inapata feasibility kubwa kiasi hiki ambacho kinashangaza wengi ikiwemo hata waliowahikuwa viongozi wa hii nchi..
VITU vya namna hii huwa havitokei vyenyewe tu. Vitu vya namna hii vinatokea kwa kuwa kuna mipango na kuna kazi kubwa sana inafanyika ya kukinza uongo unaofanywa na wanaharakati na wapinzani kama manyumbu ya CHADEMA kuhusu Tanzania.
KAA PEKE YAKO jiulize wapi duniani kunamtu anaweza kupeleka shirika lake la ndege sehemu yenye ugaidi au yenye kukosa amani? Wapi duniani kuna mtu anaweza kuamua mashindano makubwa kama ya Miss World yapelekwe kwenye nchi ambayo haina amani na utulivu na uongozi imara? Wapi duniani kuna mtu anaweza kupeleka mashindano ya mpira ya kiwango cha AFCON kwenye nchi yenye vurugu na haina amani?
UKISHAPATA majibu ya haya maswali nimekuuliza sasa ndiyo ujue kuwa wanaharakati ni watu wajinga na wapumbavu sana na unatakiwa kuwa makini sana kuamini mambo yao na kusikiliza mambo yao kwa kuwa muda mwingi wanakuwa na ajenda wanazotumwa kuvuruga mambo kama haya yasifanyike Tanzania kwa sababu za watu wanaowatuma.
SASA ENDELEENI kuwaamini hawa wanaharakati uchwara "AT YOUR OWN RISK" hawa watu ni takataka kabisa