MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]Yanga hoyee,
View attachment 2644411
Tukifungwa ni mabingwa, tukishinda ni mabingwa. Tayari historia imewekwa, timu ya wananchi wenye akili imeingia fainali.
Kama hautaki, andamana
Hakuna jambo lilishikiliwa na mwanasiasa likafanikiwa kitendo cha serikali na waziri wa michezo kuingilia kati hii tayari ni gundu.Yanga hoyee,
View attachment 2644411
Tukifungwa ni mabingwa, tukishinda ni mabingwa. Tayari historia imewekwa, timu ya wananchi wenye akili imeingia fainali.
Kama hautaki, andamana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...ila wananchi Mungu anawaona.leo tukishinda natembea huku nakula mauno kuanzia ferry hadi posta