Acheni kujiweka fight mode mpaka sasa Yanga ni Bingwa

Acheni kujiweka fight mode mpaka sasa Yanga ni Bingwa

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Yanga hoyee,

Screenshot_20230603-104240.jpg

Tukifungwa ni mabingwa, tukishinda ni mabingwa. Tayari historia imewekwa, timu ya wananchi wenye akili imeingia fainali.

Kama hautaki, andamana
 
Yanga hoyee,

View attachment 2644411

Tukifungwa ni mabingwa, tukishinda ni mabingwa. Tayari historia imewekwa, timu ya wananchi wenye akili imeingia fainali.

Kama hautaki, andamana
Hakuna jambo lilishikiliwa na mwanasiasa likafanikiwa kitendo cha serikali na waziri wa michezo kuingilia kati hii tayari ni gundu.
 
Mtashinda njaa ,pia msijifaraji mlipofika Ni hatua kubwa kwenye historia ya club yenu na nchi tokea 1993 mlishapongezwa kwa Hilo,lakini issue ya fainali lengo kuchukua kombe na sio blablaa mkipigwa tutawacheka tu haijalishi nn
 
Achana kujitekenya,Nyie Yanga,hakikisheni mmelete kombe hapa lasivyo mzamie huko huko, Algeria.Haiwezekani mtumie rasilimali za njii hii halafu mje na maneno haiwezekani.
 
Back
Top Bottom