Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
While nitakubaliana na ww isipokuwa kuwa iphone ni show off nope, moja ya flagship za muda mrefu is just wengi wanao nunua hawajui watumiaje au matumizi sahihi ya iphoneSamsung ndio simu, hizo infinix and co ni vyombo vya mawasiliano. Aifoni ni showoff.
Ila baba lao ni HUAWEI PURA 70 ULTRA
Hiyo phone iko vizuri ,huawei flagship zimesimama kweli kweliHuawei pura sio mchezo wazee
Hujakutana na INFINIX daraja la kwanza! Hazitofautiani na SAMSUNG!Usirudie tena kuweka Samsung na infinix kwenye sentence moja, yaani hizi infinix zinazochemka kama birika ya kahawa ndo unaifananisha na samsung?
Hujakutana na INFINIX daraja la kwanza! Hazitofautiani na SAMSUNG.Usirudie tena kuweka Samsung na infinix kwenye sentence moja, yaani hizi infinix zinazochemka kama birika ya kahawa ndo unaifananisha na samsung?
Unathubutu kumwita Mchina mjinga?🤣🤣 Usifananishe SAMSUNG na vitu vya kijinga..... Tafuta hela upunguze kujieleza
Aisee😃Muheshimiwa mleta sledi,ni vema ukaelewa hata kwenye usafiri kuna magari na vipando.Kwa mfano,nikitaja volkswagen beetle/veewee na range rover mnyama naamini unajua hapo gari ni lipi na kipando ki-wapi!Vilevile kwenye simu.Zipo simu na visikilizio.Say amen!🙏
Haitakaa itokee infinix iwe sawa na samsungHujakutana na INFINIX daraja la kwanza! Hazitofautiani na SAMSUNG!
Hujakutana na INFINIX daraja la kwanza! Hazitofautiani na SAMSUNG.
Wewe unataka tu kutuvunja moyo mashabiki wa NFINIX!Haitakaa itokee infinix iwe sawa na samsung
Na usikubali mtu akukatishe tamaa! Kama inakidhi mahitaji yako wewe endelea nayo. Siyo TECNO tu, hata PHILIPS ukiipata usiiache!Huwez amn nadunda JF na F1 Tecno.
Mchina anakutengenezea simu kulingana na hela yakoUnathubutu kumwita Mchina mjinga?
🤣🤣🤣🤣🤣nikienda nayo kijijini...🤣🤣🤣
Hivi kumbe kipimo cha kuwa una HeLa ni kumiliki simu ya samsung Leo ndo ni mejua🤣🤣 Usifananishe SAMSUNG na vitu vya kijinga..... Tafuta hela upunguze kujieleza
Acha kutudhihaki sisi wakurungwa ujue?Sina nitaipata wapi fukara wa jf
Maisha ni Magumu endapo utajilinganisha na mtu mwingine, vitu vinatengenezwa kulingana na hela yako sasa kwa nini mtu alalamike kutomiliki kitu kizuri? Akubali tu kuwa uwezo umeishia hapo na ajikubaliHivi kumbe kipimo cha kuwa una HeLa ni kumiliki simu ya samsung Leo ndo ni mejua
Watuache kabisa team itel🤣Samsung ni simu, na Infinix ni simu!
Kama ni gharama, zote ni za gharama. Hakuna inayotolewa bure.
Isitoshe, Infinix inatunza sana chaji!
Wanaowakejeli wanomiliki simu za INFINIX, TECNO na ITEL waache hiyo tabia mara moja. Hawajui jinsi wahusika walivyohenyeka kuzipata.
Uko sahihi ndugu. Waache dharau. Wa Infinix kainunia kulingana na kipato chake. Huyo mwenye kipato kikubwa amekipata kwa rehma za Mungu sawa na sisi wenye kidogo. Mtoaji ni mmoja na akiamua kumnyang'anya mtu hashindwi!!Samsung ni simu, na Infinix ni simu!
Kama ni gharama, zote ni za gharama. Hakuna inayotolewa bure.
Isitoshe, Infinix inatunza sana chaji!
Wanaowakejeli wanomiliki simu za INFINIX, TECNO na ITEL waache hiyo tabia mara moja. Hawajui jinsi wahusika walivyohenyeka kuzipata.
Mimi isingelikuwa masuala ya mawasiliano kwa mtandao (internet) na kutunza documents, hata simu janja nisingezimiliki. Simu yangu ya kwanza kuimiliki ilikuwa ni PHILIPS, watu wakanitania sana kuwa ni mche wa sabuni lakini sikujali. Kisha nikaenda SIEMENS, halafu NOKIA ya tochi.Watuache kabisa team itel🤣
Siyo kweli mkuu. Ni utaishi tu wa mtu! Huwezi kununua kitu usichokihitaji kwa vile tu una hela! Mbona inasemekana Putin hana simu janja?Hivi kumbe kipimo cha kuwa una HeLa ni kumiliki simu ya samsung Leo ndo ni mejua