Acheni kukejeli simu za watu!

Acheni kukejeli simu za watu!

Uko sahihi ndugu. Waache dharau. Wa Infinix kainunia kulingana na kipato chake. Huyo mwenye kipato kikubwa amekipata kwa rehma za Mungu sawa na sisi wenye kidogo. Mtoaji ni mmoja na akiamua kumnyang'anya mtu hashindwi!!
Kuna Infinix ghali kuzidi baadhi ya Samsung! Kumiliki Infinix si ishara ya unyonge, ni uchaguzi wa "mlaji"
 
  • Thanks
Reactions: Mu7
Back
Top Bottom