Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Kwann tutegemee kodi kwa kuwaumiza wananchi masikini,kwann tusijifunze alivyofanya mkoloni hakuendesha nchi kwa kutegemea kodi,bali uzalishaji.Ufisadi upo ila haifiki hata 10% ya makusanyo which is insignificant ..
Hapo kwenye kukusanya Kodi kuna uzembe mkubwa,pesa nyingi inapotea kwa kutokusanywa na kutoingiza vyanzo vipya vya mapato.
Nadharia ya kutaka kukusanya zaidi ni ya kuwafanya wananchi wazidi kuwa masikini.
Ukidhibiti ufisadi ukaokoa hio 10% ya ufisadi ukaipeleka kwenye maendeleo itasaidia kupiga hatua.