Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

Ufisadi upo ila haifiki hata 10% ya makusanyo which is insignificant ..

Hapo kwenye kukusanya Kodi kuna uzembe mkubwa,pesa nyingi inapotea kwa kutokusanywa na kutoingiza vyanzo vipya vya mapato.
Kwann tutegemee kodi kwa kuwaumiza wananchi masikini,kwann tusijifunze alivyofanya mkoloni hakuendesha nchi kwa kutegemea kodi,bali uzalishaji.
Nadharia ya kutaka kukusanya zaidi ni ya kuwafanya wananchi wazidi kuwa masikini.
Ukidhibiti ufisadi ukaokoa hio 10% ya ufisadi ukaipeleka kwenye maendeleo itasaidia kupiga hatua.
 
Zanzibar wao wanachimba mafuta yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…