Acheni kuwabagaza wanawake kutoka hilo kabila tukufu

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Kumekua na mijadala na hoja kadha wa kadha za kuwasagia kunguni wanawake wa kimatumbi toka kabila moja tukufu hapa nchini kwamba hawafai kufanywa wake wa ndoa.

Wapo wanaodai kwamba wanawake hao ni vibaka wakuzaliwa na kwamba wanapita na chochote ulichonacho.
Hata kama mwanaume unamiliki buku mia mbili tu jiandae mwendo kuumaliza, na kama unavingine wanaanza navyo kisha wewe unakuwa hitimisho la mission.
Lakini hizi zote ni dhana ambazo hazijathibitishwa
Kwani nani alisema wao wana haja ya kuolewa na sisi wamatumbi weusi toka makabila mengine.?

Binafsi nawapenda sana wanawake toka kabila hili tukufu .Licha ya maumbo yao ya mstatiri , wamejaaliwa juhudi za maendeleo binafsi bila kusahau nyapu zao teketeke zisizoisha hamu. Kuwakataa ni ishara ya uoga na kutojiamini ingawa hata mim binafsi nashangazwa sana na tamaa yao ya asili
 
Hata kama mwanaume unamiliki buku mia mbili tu jiandae mwendo kuumaliza, kama unavingine wanaanza navyo wewe unakuwa hitimisho la mission.
Lakini hizi zote ni dhana ambazo hazijathibitishwa
Kwani nani alisema wao wana haja ya kuolewa na sisi wamatumbi weusi toka makabila mengine.?

Binafsi nawapenda sana wanawake toka kabila hili tukufu .Licha ya maumbo yao ya mstatiri , wamejaaliwa juhudi za maendeleo binafsi bila kusahau nyapu zao teketeke zisizoisha hamu. Kuwakataa ni ishara ya uoga na kutojiamini ingawa hata mim binafsi nashangazwa sana na tamaa yao ya asili
Kwani wewe ni wa kabila lipi?
 
Sababu ya sisi wanaume wa kichagga kufa mapema ni ulevi wetu uliopindukia.

Uchaggani ulevi ni sifa, na watu huanza utotoni.

Kuna tafiti kabisa ya KCMC inathibitisha hili;

Kwahiyo msiwalaumu mama zetu na dada zetu kwa makosa yetu.
 
Kumekua na mijadala na hoja kadha wa kadha za kuwasagia kunguni wanawake wa kimatumbi toka kabila moja tukufu hapa nchini kwamba hawafai kufanywa wake wa ndoa.

Wapo wanaodai kwamba wanawake hao ni vibaka wakuzaliwa na kwamba wanapita na chochote ulichonacho.
Hata kama mwanaume unamiliki buku mia mbili tu jiandae mwendo kuumaliza, na kama unavingine wanaanza navyo kisha wewe unakuwa hitimisho la mission.
Lakini hizi zote ni dhana ambazo hazijathibitishwa
Kwani nani alisema wao wana haja ya kuolewa na sisi wamatumbi weusi toka makabila mengine.?

Binafsi nawapenda sana wanawake toka kabila hili tukufu .Licha ya maumbo yao ya mstatiri , wamejaaliwa juhudi za maendeleo binafsi bila kusahau nyapu zao teketeke zisizoisha hamu. Kuwakataa ni ishara ya uoga na kutojiamini ingawa hata mim binafsi nashangazwa sana na tamaa yao ya asili
Mtu umeshajiita mwehu nani akuzingatia? We endelea kuokota makopo
 
Licha ya maumbo yao ya mstatiri ,

Hili umbo lipoje kijana mwehu?
 
Wamatumbi kajumlisha watanzania wote
Kwahiyo hilo kabila tajwa litakuwa la Malawi???

Ila mitanganyika ya kiume iko na ufala flani hivi. Sasa wanawaogopa wadada wa kabila moja wakati kuna kimama kimoja tu hapo kizimkazi kinawaendesha kitakavyo na bado wanakisujudu...

Mitanganyika ndivyo tulivyo ... Samahani komredi Nyani Ngabu kwa kuichakachua slogan imani yako
 
Back
Top Bottom