Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Nashindwa kuerrewa... Nabaki nashangaa tu.Lakini si umeelewa mkuu?
Wallah hapa JF huchelewi kumtongoza mama mkwe bila kujua LOL
Nashindwa kuerrewa... Nabaki nashangaa tu.Lakini si umeelewa mkuu?
🤪🤪🤪🤪🤪Nashindwa kuerrewa... Nabaki nashangaa tu.
Wallah hapa JF huchelewi kumtongoza mama mkwe bila kujua LOL
Hayo umeyaona wewe.Halafu kuna wewe unajiita Precious ila una mambo meusi, makonda akasome.
Tunakufuatilia.Hayo umeyaona wewe.
Ahahahahaha aiseeeKumekua na mijadala na hoja kadha wa kadha za kuwasagia kunguni wanawake wa kimatumbi toka kabila moja tukufu hapa nchini kwamba hawafai kufanywa wake wa ndoa.
Wapo wanaodai kwamba wanawake hao ni vibaka wakuzaliwa na kwamba wanapita na chochote ulichonacho.
Hata kama mwanaume unamiliki buku mia mbili tu jiandae mwendo kuumaliza, na kama unavingine wanaanza navyo kisha wewe unakuwa hitimisho la mission.
Lakini hizi zote ni dhana ambazo hazijathibitishwa
Kwani nani alisema wao wana haja ya kuolewa na sisi wamatumbi weusi toka makabila mengine.?
Binafsi nawapenda sana wanawake toka kabila hili tukufu .Licha ya maumbo yao ya mstatiri , wamejaaliwa juhudi za maendeleo binafsi bila kusahau nyapu zao teketeke zisizoisha hamu. Kuwakataa ni ishara ya uoga na kutojiamini ingawa hata mim binafsi nashangazwa sana na tamaa yao ya asili
We na nani? We bwege kahangaike na shida zako! Mbn mshamba hivyo?Tunakufuatilia.