mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kwani wewe ni wa kabila lipi?Kumekua na mijadala na hoja kadha wa kadha za kuwasagia kunguni wanawake wa kimatumbi toka kabila moja tukufu hapa nchini kwamba hawafai kufanywa wake wa ndoa.
Wapo wanaodai kwamba wanawake hao ni vibaka wakuzaliwa na kwamba wanapita na chochote ulichonacho.
Hata kama mwanaume unamiliki buku mia mbili tu jiandae mwendo kuumaliza, kama unavingine wanaanza navyo wewe unakuwa hitimisho la mission.
Lakini hizi zote ni dhana ambazo hazijathibitishwa
Kwani nani alisema wao wana haja ya kuolewa na sisi wamatumbi weusi toka makabila mengine.?
Binafsi nawapenda sana wanawake toka kabila hili tukufu .Licha ya maumbo yao ya mstatiri , wamejaaliwa juhudi za maendeleo binafsi bila kusahau nyapu zao teketeke zisizoisha hamu. Kuwakataa ni ishara ya uoga na kutojiamini ingawa hata mim binafsi nashangazwa sana na tamaa yao ya asili
kwani nazungumzia kabila lipi?Kwani wewe ni wa kabila lipi?
Unazungumza kwa ukali sana mkuu, unaushahidi juu ya ushetani wao?Huwajui hao mashetani wewe
Wamatumbi ndilo kabila pekee ulilolitaja....kwani nazungumzia kabila lipi?
Ndilo kabila langu mkuuWamatumbi ndilo kabila pekee ulilolitaja....
Hapana mkuu niwie RadhiUnazungumza kwa ukali sana mkuu, unaushahidi juu ya ushetani wao?
Mtu umeshajiita mwehu nani akuzingatia? We endelea kuokota makopoKumekua na mijadala na hoja kadha wa kadha za kuwasagia kunguni wanawake wa kimatumbi toka kabila moja tukufu hapa nchini kwamba hawafai kufanywa wake wa ndoa.
Wapo wanaodai kwamba wanawake hao ni vibaka wakuzaliwa na kwamba wanapita na chochote ulichonacho.
Hata kama mwanaume unamiliki buku mia mbili tu jiandae mwendo kuumaliza, na kama unavingine wanaanza navyo kisha wewe unakuwa hitimisho la mission.
Lakini hizi zote ni dhana ambazo hazijathibitishwa
Kwani nani alisema wao wana haja ya kuolewa na sisi wamatumbi weusi toka makabila mengine.?
Binafsi nawapenda sana wanawake toka kabila hili tukufu .Licha ya maumbo yao ya mstatiri , wamejaaliwa juhudi za maendeleo binafsi bila kusahau nyapu zao teketeke zisizoisha hamu. Kuwakataa ni ishara ya uoga na kutojiamini ingawa hata mim binafsi nashangazwa sana na tamaa yao ya asili
Samahani mkuu😁Mtu umeshajiita mwehu nani akuzingatia? We endelea kuokota makopo
Wamatumbi kajumlisha watanzania woteWamatumbi ndilo kabila pekee ulilolitaja....
Licha ya maumbo yao ya mstatiri ,Kumekua na mijadala na hoja kadha wa kadha za kuwasagia kunguni wanawake wa kimatumbi toka kabila moja tukufu hapa nchini kwamba hawafai kufanywa wake wa ndoa.
Wapo wanaodai kwamba wanawake hao ni vibaka wakuzaliwa na kwamba wanapita na chochote ulichonacho.
Hata kama mwanaume unamiliki buku mia mbili tu jiandae mwendo kuumaliza, na kama unavingine wanaanza navyo kisha wewe unakuwa hitimisho la mission.
Lakini hizi zote ni dhana ambazo hazijathibitishwa
Kwani nani alisema wao wana haja ya kuolewa na sisi wamatumbi weusi toka makabila mengine.?
Binafsi nawapenda sana wanawake toka kabila hili tukufu .Licha ya maumbo yao ya mstatiri , wamejaaliwa juhudi za maendeleo binafsi bila kusahau nyapu zao teketeke zisizoisha hamu. Kuwakataa ni ishara ya uoga na kutojiamini ingawa hata mim binafsi nashangazwa sana na tamaa yao ya asili
Kaka PWamatumbi ndilo kabila pekee ulilolitaja....
Halafu kuna wewe unajiita Precious ila una mambo meusi, makonda akasome.Mtu umeshajiita mwehu nani akuzingatia? We endelea kuokota makopo
Dah....Kaka P
Huyu mwehu anaongelea wanawake wa chini ya Mulima.
Kwahiyo kumbe wamatumbi wanawaogopa wanawake?Ndilo kabila langu mkuu
Lakini si umeelewa mkuu?Dah....
Hapo kwa Blue umeniacha hoi.... Amakweli JF ni dude kuuuuubwaaaa!
Kwahiyo hilo kabila tajwa litakuwa la Malawi???Wamatumbi kajumlisha watanzania wote