RSM Dominik
JF-Expert Member
- Apr 3, 2026
- 207
- 561
Kamanda, waliooa zamani watakuambia vijana wa kileo ni wazembe, wepesi, hatuwajibiki, madomo zege ni kweli kwa asilimia fulani ila ukweli mchungu hawa wasichana ni changamoto sana.
Hebu imagine una demu una mipango siriaz ya kumuoa ila nae anakupima kwa kuona kama unamkidhi mahitaji yake maanaake ni mwendo wa kuombwa hela tuuu,ukisua sua tu kwenye case yake moja anakutema ana mselect mwingine,
Yaani siku hizi msichana ndio anaamua aolewe au asiolewe,mwanaume au kijana una chance ndogo sababu unaweza ukayumba sehemu ndogo tu akakumwaga.
Wiki mbili nyuma nimechana rasmi na binti mmoja wa kilokole tuliedumu kwenye urafiki kwa miez kama minne, yule binti alionyesha kunipenda fresh tuu ila huwezu amini kamanda sijawahi pewa utamu hiyo miez yote mwanzo alidai hatujajuana vzr, tulipoikata miez zaidi akaanza anataka mpaka tufunge ndoa, ananipa stori za ndoa wakati maisha yangu anayajua kipato changu kwa mwezi ni hizo laki laki na vipoints, wiki za mwishoni mbili nyuma hapo kaja ghetto
Nikajaribu kukaza kuomba show akagoma eti mpaka ndoa, wakati huo akiwaga na mimi mara nyingi vimeseji muda woote zinaingia kwenye simu yake na mimi kwa kuwa mtu mzima naelewa huwa sikujitesa kuangalia km ni za me au ke. Kwahiyo baada ya kuona kanigomea nikamwambia poa ila kama ungenipenda real usingenikazia namna hii maanaake una mtu mnaridhdhishana thatz why mwenzangu kukaa mwaka bila tendo na mimi unaona poa tu, akanijibu WE KAFANYE NA YEYOTE ILA UKITAKA KUNIOA UTANIKUTA.mpaka leo hatujjatafutana na nimedelete namba yake mimi sio mtoto umri huu sio wa kupigia magoti mtoto wa elfu mbili wakuu, hela za vocha nitume, kodi nimchangie kulipa halafu show ninyimwe nimebwagaaa, ndo hawa hata kwenye ndoa anaanza kukupangia ratiba ya show😈😈😈