Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Watu mna siri sana kumbe mnapeana?Hamjui mnataka nini, ukipewa muda huohuo hata hujatawaza manii unakimbia kuanzisha nyuzi, wanawake skuiz malaya sanasana hawa wa buku bee, ukinyimwa mpk ndoa unaanziaha uzi unahisi kuna jamaa anajipigia! A very negative mindset!