Acheni maneno ya mitaani na mitandaoni... Kupata mke ni kazi sana miaka hii

Acheni maneno ya mitaani na mitandaoni... Kupata mke ni kazi sana miaka hii

Siku hizi hakuna wake kama mke bali kuna machangudoa na makahaba waliojificha kwenye kichaka cha mahusiano na ndoa ili kukidhi mahitaji yao ya kifedha!!!

Wengi wa wanawake walioolewa na walio kwenye mahusiano yanayoitwa "siriazi" ni makahaba waliopata mteja wa kudumu wa kile wanachouza kwa muda huo......

Mtiririko na muendelezo wa matukio ya usaliti na kugongwa hovyo kwa hao wanawake wanaojiita wake za watu na wachumba za watu huko mitaani na maofisini ni kielelezo tosha kuwa watu wameoa machangudoa na makahaba!!!!

Kwa kweli hali ni mbayaView attachment 3697929
Mkuu hali ni mbaya afadhali walioolewa, kumpata wa kumuweka ndani ndo mziki, mpaka umufanye mke sio kirahisi
 
Uko sahihi..
Maisha magumu...
Future is unpredictable...
Stay calm...
Tafuta mmoja wa kupoozea rungu...
Msipeane mikataba...
Mkicchokana mnapeana muda....
Mkimisiana mnatafutana... that's way to go...
Mkihitaji mtoto mnatafuta..
No lifetime commitment.
Fafanua zaidi mkuu
 
Kwa mtoa mada bado hajauziwa anaambiwa mpaka ndoa ndo atapewa.

No sex before marriage ni idea nzuri na ni sheria ya Mungu kabisa, ila kwa dunia ya sasa ilivoharibika, mdada unaemtongoza akikwambia (no sex before marriage) mara nyingi maana yake ni hajavutiwa kimapenzi na wewe, na sio kwasababu anaifata sheria ya Mungu

Very sad KikulachoChako
Yeah ndo ukweli mkuu, mi naambiwa ndoa, mwingine anakula kwa alfu 7 ya nauli
 
Ulikuwa unataka mke au dem wa kutia? Ulitongoza mlokole kwa kutarajia nini? Kutafuta mke kwa kutegrmea ushauri wa mitandaoni ni ngumu sana!
Kuna wataalamu wa kudili na sampuli mbalimbali za ke humu mkuu
 
Kamanda, waliooa zamani watakuambia vijana wa kileo ni wazembe, wepesi, hatuwajibiki, madomo zege ni kweli kwa asilimia fulani ila ukweli mchungu hawa wasichana ni changamoto sana.

Hebu imagine una demu una mipango siriaz ya kumuoa ila nae anakupima kwa kuona kama unamkidhi mahitaji yake maanaake ni mwendo wa kuombwa hela tuuu,ukisua sua tu kwenye case yake moja anakutema ana mselect mwingine,

Yaani siku hizi msichana ndio anaamua aolewe au asiolewe,mwanaume au kijana una chance ndogo sababu unaweza ukayumba sehemu ndogo tu akakumwaga.

Wiki mbili nyuma nimechana rasmi na binti mmoja wa kilokole tuliedumu kwenye urafiki kwa miez kama minne, yule binti alionyesha kunipenda fresh tuu ila huwezu amini kamanda sijawahi pewa utamu hiyo miez yote mwanzo alidai hatujajuana vzr, tulipoikata miez zaidi akaanza anataka mpaka tufunge ndoa, ananipa stori za ndoa wakati maisha yangu anayajua kipato changu kwa mwezi ni hizo laki laki na vipoints, wiki za mwishoni mbili nyuma hapo kaja ghetto

Nikajaribu kukaza kuomba show akagoma eti mpaka ndoa, wakati huo akiwaga na mimi mara nyingi vimeseji muda woote zinaingia kwenye simu yake na mimi kwa kuwa mtu mzima naelewa huwa sikujitesa kuangalia km ni za me au ke. Kwahiyo baada ya kuona kanigomea nikamwambia poa ila kama ungenipenda real usingenikazia namna hii maanaake una mtu mnaridhdhishana thatz why mwenzangu kukaa mwaka bila tendo na mimi unaona poa tu, akanijibu WE KAFANYE NA YEYOTE ILA UKITAKA KUNIOA UTANIKUTA.mpaka leo hatujjatafutana na nimedelete namba yake mimi sio mtoto umri huu sio wa kupigia magoti mtoto wa elfu mbili wakuu, hela za vocha nitume, kodi nimchangie kulipa halafu show ninyimwe nimebwagaaa, ndo hawa hata kwenye ndoa anaanza kukupangia ratiba ya show😈😈😈

View attachment 3697684
Kupata mke siyo kazi,..kazi ni kupata mke Msaidizi....sasa hivi wanawake wamekuwa ni washindani siyo wasaidizi...shida ipo hapo.
 
Uko sahihi..
Maisha magumu...
Future is unpredictable...
Stay calm...
Tafuta mmoja wa kupoozea rungu...
Msipeane mikataba...
Mkicchokana mnapeana muda....
Mkimisiana mnatafutana... that's way to go...
Mkihitaji mtoto mnatafuta..
No lifetime commitment.
Hii imekaa vizuri
 
Kamanda, waliooa zamani watakuambia vijana wa kileo ni wazembe, wepesi, hatuwajibiki, madomo zege ni kweli kwa asilimia fulani ila ukweli mchungu hawa wasichana ni changamoto sana.

Hebu imagine una demu una mipango siriaz ya kumuoa ila nae anakupima kwa kuona kama unamkidhi mahitaji yake maanaake ni mwendo wa kuombwa hela tuuu,ukisua sua tu kwenye case yake moja anakutema ana mselect mwingine,

Yaani siku hizi msichana ndio anaamua aolewe au asiolewe,mwanaume au kijana una chance ndogo sababu unaweza ukayumba sehemu ndogo tu akakumwaga.

Wiki mbili nyuma nimechana rasmi na binti mmoja wa kilokole tuliedumu kwenye urafiki kwa miez kama minne, yule binti alionyesha kunipenda fresh tuu ila huwezu amini kamanda sijawahi pewa utamu hiyo miez yote mwanzo alidai hatujajuana vzr, tulipoikata miez zaidi akaanza anataka mpaka tufunge ndoa, ananipa stori za ndoa wakati maisha yangu anayajua kipato changu kwa mwezi ni hizo laki laki na vipoints, wiki za mwishoni mbili nyuma hapo kaja ghetto

Nikajaribu kukaza kuomba show akagoma eti mpaka ndoa, wakati huo akiwaga na mimi mara nyingi vimeseji muda woote zinaingia kwenye simu yake na mimi kwa kuwa mtu mzima naelewa huwa sikujitesa kuangalia km ni za me au ke. Kwahiyo baada ya kuona kanigomea nikamwambia poa ila kama ungenipenda real usingenikazia namna hii maanaake una mtu mnaridhdhishana thatz why mwenzangu kukaa mwaka bila tendo na mimi unaona poa tu, akanijibu WE KAFANYE NA YEYOTE ILA UKITAKA KUNIOA UTANIKUTA.mpaka leo hatujjatafutana na nimedelete namba yake mimi sio mtoto umri huu sio wa kupigia magoti mtoto wa elfu mbili wakuu, hela za vocha nitume, kodi nimchangie kulipa halafu show ninyimwe nimebwagaaa, ndo hawa hata kwenye ndoa anaanza kukupangia ratiba ya show😈😈😈

View attachment 3697684
Kupata mke siyo kazi kazi ni kupata mke Msaidizi....sasa hivi wanawake wamekuwa ni washindani siyo wasaidizi...shida ipo hapo.
 
Kuna demu nilikua nafanya nae KAZI, zenji security ni mpemba huyo demu kwa mtazamo wangu nilimuona kama demu wa mjini, akichukua simu ya jamaa yangu alikua anaagalia x Yani porno.

sasa siku Moja nimekaa na demu wakule kwao nae alikuja kufanya security akawa ananipa stori za hao mademu, ndio akanisanua huyo demu naemsemea ni bikra ila wengine washagongwa, asee nili kataa, akanambia niamini mimi tunajuana kuangalia x sio kigezo huenda anataka kujua wanavofanya ila huyo demu bikra ya asili, niamini mimi. Nilishangaa
Duh ko uliomba show au na we
 
Mimi nina mchaga wangu wa kibosho tunapendana sana lakini zile hadithi huwa nikizisikia kuhusu wachaga wa kibosho huwa inaniogopesha.Nishaurini ni mbwage au nikomae nae tu maana tunapendana sana
 
Back
Top Bottom