Acheni maneno ya mitaani na mitandaoni... Kupata mke ni kazi sana miaka hii

Acheni maneno ya mitaani na mitandaoni... Kupata mke ni kazi sana miaka hii

Wazazi nao ni wanadamu na hawana X-ray machine ya kuumulika moyo wa mtu. Hiyo kazi anaiweza aliyeiumba Ndoa peke yake. Na ninamshukuru tayari ameshanikirimia wa kufanana nami🙏
Wewe ulimpick from mars bila shaka.
 
Mtoa mada wewe mwenyewe hueleweki, ulikuwa unataka mwanamke wa ndoa, au mwanamke akupe sex? Maana ni vitu viwili tofauti, kwa kesi ya huyo alitaka muoane kwanza ndio sex ifuate, na huo ndio utaratibu, ila wewe ulitaka sex kwanza halafu ndio ujifikirie kuoa, lazima utambue mwanamke sex sio starehe kama unavyofikiri, sex kwa mwanamke lazima imletee faida, hawezi sex kizembe bila faida
 
Back
Top Bottom