Ukishaona hivyo kimbia ipo siku utakutana na unayemtaka, keep searching....mapenzi ya pesa mbele hayakufikishi popote, wale wanaosema uwe na pesa Tu wengi wanaishi Kwa presha na hata Mahusiano yao hayaeleweki, Wana stress na kupenda kujifariji Tu.Mkuu kwani wewe ni mgeni na hiki kizaz? Ukijibu hivyo unadhani relation ina go on kama sio breakup