changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Wewe mpira unaujua na unauelewa. Jamaa anachanganya vitu viwili tofautiNi kama Manchester City, sio timu kubwa ila kwa ubora wao sasa ukienda bila kujipanga wanakupiga na kitu kizito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mpira unaujua na unauelewa. Jamaa anachanganya vitu viwili tofautiNi kama Manchester City, sio timu kubwa ila kwa ubora wao sasa ukienda bila kujipanga wanakupiga na kitu kizito
inuendoUkubwa wa mamelod ni upi?
Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa?
Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku?
Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahly eti hawaingii kwenye kikosi cha mamelodi bangi au?
Mamelodi kazidiwa mafanikio na
Al ahly
Wydad
Exparence
Tp Mazembe
Mamelodi level zake ni Simba, CR Belousdad na Raja
Acheni kuwapaisha kwangu Mimi timu bora Africa itabaki kuwa al ahly
Mamelodi watanyooshwa na yanga hapa msije kuwakataa tu wanapaishwa utafikiri ni Real Madrid Fulani hivi kumbe ni PSG aliyechangamka kwenye champions ligue.
Naamini kabisa kuna wachezaji kibao wa simba na yanga wanaingia kwenye kikosi cha mamelodi yaani inonga akose namba mamelodi? Au Baka akose namba mamelodi ?
Nawaambia tutarudi hapa tarehe 30 usiku kwenye huu Uzi mamelodi akiwa kafa na akijichanganya anatoka.
hivi huoni huyo anatujoki wanayanga?Haya yalipaswa kuandikwa baada ya mechi, tusimtukane mamba kabla ya kuvuka mto.
Kinachosifiwa kwasasa sio Mamelod ni timu kubwa bali Mamelod ni timu bora kwasasa. Huyo Al Ahly katolewa na Mamelod kwenye AFL, na pia katika kundi lake alikuwa na timu mbili kubwa ( Tp Mazembe na Pyramids) na kaondoka kinara wa kundi. Kinachosifiwa na ubora wao kwasasa
Mfano wa Mamelody na Al Ahly ni sawa na Man City na Real Madrid. Yaani ki historia Madrid ana makombe mengi ya UEFA kuliko timu zote ilizoingia nazo robo combined but recently form Man City yuko vizuri kuliko Real Madrid.Ukubwa wa mamelod ni upi?
Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa?
Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku?
Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahly eti hawaingii kwenye kikosi cha mamelodi bangi au?
Mamelodi kazidiwa mafanikio na
Al ahly
Wydad
Exparence
Tp Mazembe
Mamelodi level zake ni Simba, CR Belousdad na Raja
Acheni kuwapaisha kwangu Mimi timu bora Africa itabaki kuwa al ahly
Mamelodi watanyooshwa na yanga hapa msije kuwakataa tu wanapaishwa utafikiri ni Real Madrid Fulani hivi kumbe ni PSG aliyechangamka kwenye champions ligue.
Naamini kabisa kuna wachezaji kibao wa simba na yanga wanaingia kwenye kikosi cha mamelodi yaani inonga akose namba mamelodi? Au Baka akose namba mamelodi ?
Nawaambia tutarudi hapa tarehe 30 usiku kwenye huu Uzi mamelodi akiwa kafa na akijichanganya anatoka.
Nimekomea pale uliposema yanga ameingia robo fainaili mara ya kwanza mwaka huu.Mpira ni kitu cha ajabu sana ndo maana mimi naupenda
Ukisema mamelodi si mkubwa tunarudi kwa yanga
Yanga ana ukubwa gani
Mara ya kwanza yanga anafika robo fainali ni msimu huu
Yanga amefuzu kwa point chache zaidi kwenye msimu huu wa mashindano
Unafikiri kama wewe huwaheshimu wakubwa waliowahi kuchukua ubingwa wa haya mashindano
Unahisi mamelodi ana haki gani ya kukuheshimu
Mpira hauangaliwi historia
Tungeangalia historia basi hata wydad
casablanca hakutakiwa atoke ila katoka
Wanaangalia current form
Na kwa current form mamelodi ni wako on fire
Hata hao petro sidhani kama wamewahi kubeba ubingwa ila wanaheshimika kwa sababu ya current form
Usichukie watu wanapokutisha mamelodi ni wamoto
Ni kwa sababu ni wamoto kweli kweli
Umeona difference ya points kwenye ligi yao?
Kutulazimisha utampasua ni kama umechamganyikiwa
Nakusubiri uje na hasira zako maana uzi kama umekurupuka hivi kuuanzisha[emoji16]
Pyramid haijawahi kuwa timu kubwaHaya yalipaswa kuandikwa baada ya mechi, tusimtukane mamba kabla ya kuvuka mto.
Kinachosifiwa kwasasa sio Mamelod ni timu kubwa bali Mamelod ni timu bora kwasasa. Huyo Al Ahly katolewa na Mamelod kwenye AFL, na pia katika kundi lake alikuwa na timu mbili kubwa ( Tp Mazembe na Pyramids) na kaondoka kinara wa kundi. Kinachosifiwa ni ubora wao kwasasa
Huo ndo ukweli uliopo mzee ndo mara ya kwanza wanaingiaNimekomea pale uliposema yanga ameingia robo fainaili mara ya kwanza mwaka huu.
Anachosema ni nani nyie makolowizard mnavyoikuza hiyo timu kama jamaa wanacheza wakiwa na miguu minne. Wazee wa kujipa faraja mnajisahaurisha kuwa mnacheza na al Ahly.Mpira ni kitu cha ajabu sana ndo maana mimi naupenda
Ukisema mamelodi si mkubwa tunarudi kwa yanga
Yanga ana ukubwa gani
Mara ya kwanza yanga anafika robo fainali ni msimu huu
Yanga amefuzu kwa point chache zaidi kwenye msimu huu wa mashindano
Unafikiri kama wewe huwaheshimu wakubwa waliowahi kuchukua ubingwa wa haya mashindano
Unahisi mamelodi ana haki gani ya kukuheshimu
Mpira hauangaliwi historia
Tungeangalia historia basi hata wydad
casablanca hakutakiwa atoke ila katoka
Wanaangalia current form
Na kwa current form mamelodi ni wako on fire
Hata hao petro sidhani kama wamewahi kubeba ubingwa ila wanaheshimika kwa sababu ya current form
Usichukie watu wanapokutisha mamelodi ni wamoto
Ni kwa sababu ni wamoto kweli kweli
Umeona difference ya points kwenye ligi yao?
Kutulazimisha utampasua ni kama umechamganyikiwa
Nakusubiri uje na hasira zako maana uzi kama umekurupuka hivi kuuanzisha😁
1969 na 1970 aliyeingia robo hapa Tanzania hakuwa yanga?Huo ndo ukweli uliopo mzee ndo mara ya kwanza wanaingia
Sisi hatujisahaulishi ila shida inakuja mnashindwa kuongea kwa sababu mnatufahamu tupo vizuri kiasi ganiAnachosema ni nani nyie makolowizard mnavyoikuza hiyo timu kama jamaa wanacheza wakiwa na miguu minne. Wazee wa kujipa faraja mnajisahaurisha kuwa mnacheza na al Ahly.
Uzuri jumamosi tutaona kwa Mkapa. Kwenye keyboard za TECNO zenu mko nao level mojaUkubwa wa mamelod ni upi?