Acheni siasa za mpira, ukubwa wa Mamelod ni upi?

Ni kama Manchester City, sio timu kubwa ila kwa ubora wao sasa ukienda bila kujipanga wanakupiga na kitu kizito
Wewe mpira unaujua na unauelewa. Jamaa anachanganya vitu viwili tofauti
 
inuendo
 
hivi huoni huyo anatujoki wanayanga?
 
Mfano wa Mamelody na Al Ahly ni sawa na Man City na Real Madrid. Yaani ki historia Madrid ana makombe mengi ya UEFA kuliko timu zote ilizoingia nazo robo combined but recently form Man City yuko vizuri kuliko Real Madrid.

Hata Uingereza Man City anaweza asimzidi Liver au Man U kwa ukubwa wa Club but uwanjani yuko vizuri kuliko hao wawili.
 
Sisi wabongo hatupendi mafanikio ya timu zetu na tunazchukulia poa.
Simba anauwezo sawa na timu nyingi tu achilia mbali Mamelod, na yanga pia ana level hzohzo tu .
Tunapokwama ni sehm padogo Sana.
 
Nimekomea pale uliposema yanga ameingia robo fainaili mara ya kwanza mwaka huu.
 
Pyramid haijawahi kuwa timu kubwa
 
Sawa nakubali, Masandawana kama Simba tu wakija mnawapiga kono la nyani wanarudi kwao.
 
Anachosema ni nani nyie makolowizard mnavyoikuza hiyo timu kama jamaa wanacheza wakiwa na miguu minne. Wazee wa kujipa faraja mnajisahaurisha kuwa mnacheza na al Ahly.
 

Masandawana wanasema kata simu kata simu, tupo site!

Ogopa matapeli, 30/03/24 ni Mokoena Day
 
Anachosema ni nani nyie makolowizard mnavyoikuza hiyo timu kama jamaa wanacheza wakiwa na miguu minne. Wazee wa kujipa faraja mnajisahaurisha kuwa mnacheza na al Ahly.
Sisi hatujisahaulishi ila shida inakuja mnashindwa kuongea kwa sababu mnatufahamu tupo vizuri kiasi gani

Tumeshawahi kucheza nao tukiwa na yule kocha wa kiwango cha kawaida tukatoa nao sare

Tumeshawahi wafunga si mara moja wala mara mbili

Mnashindwa kuongea kwa sababu adui wangu mimi namfahamu
Wewe wa kwako humfahamu😁😂 kiundani mmecheza kitaambo sana

Timu inayojua siyo inakuzwa inapewa sifa inazostahili
Mbona wewe unajikuza na kujipa moyo kwamba unaweza kumfunga

Ulitaka watu wasiikuze timu pinzani ili nini kitokee
Kwamba isipokuzwa ndo utashinda ama??
Kipindi hushiriki kazi yako kubwa ilikua ni ipi kama sio kushadadia mabwana zako wa afrika kusini wakiongozwa na raisi wenu mpaka mkahongwa na jezi
 
Uzuri jumamosi tutaona kwa Mkapa. Kwenye keyboard za TECNO zenu mko nao level moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…