GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Namkubali sana / mno Dotto Magari kwani ni Msema Ukweli daima na hana Unafiki wala haishi Maisha ya Kaole / Kuigiza."Asiyefaa kafaa,maisha ya katalizim,
Mwenye degree anamsikiliza asiyesoma,
Riziki mwanzo wa chuki,
Ukihitajika utaitwa,na hapa ipo"
Wewe.Unamuuliza nani sasa?
Kwakuwa unamiliki Iphone 5 halafu bado unapanda Dala Dala? Huna Akili kabisa.Wew na influenza wako wote hamnazo
Mumeo au?Wewe.
Acha ulimbukeni unadhan kumiliki gari ndo kutoboa maisha!Kwakuwa unamiliki Iphone 5 halafu bado unapanda Dala Dala? Huna Akili kabisa.
Hawajawahi 'Kukushindilia' nalo hata Siku moja?Kuna wasomi wengine hawajitambui wanamiliki I'd kumi na wanaongea matusi na kupewa ban za kila muda.
Mimi nawaita popoma
Una nini Wewe labda?Acha ulimbukeni unadhan kumiliki gari ndo kutoboa maisha!
Mke wangu.Mumeo au?
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.Sisi wasomi*😁 tunaona kwamba yupo 'subjectively biased.'
Yaani ametunga nadharia yake mwenyewe bila kutathmini nafasi kadhaa za kiuchumi ambazo mmiliki wa iphone 15 anaweza kuwemo.
Kuna mmiliki wa iphone 15 ambaye;
-Amejiumiza kiuchumi ili amiliki iphone, ni maskini.
-Anaweza kumiliki iphone na akabaki kwenye nafasi nzuri kiasi ya kiuchumi, atasuasua kidogo.
-Anaweza kumiliki iphone 15 hata mia moja, ni fogo.
-Kapewa kwa sababu flani flani.
-Kaokota.
nadhani kuna possibilities zaidi ya hizo nilizotaja.
Sasa wasomi tunamuuliza, ana uhakika kila mmiliki wa iphone 15 hawezi kumiliki piki piki na kiwanja pia? ama zaidi?
Aaaaaah, bichwa komweee weeee bingwa la kuhamisha mada yani wewe hata watu wajadili vita ya Ukraine na Urusi utafanya fanya unavyojua weeeeeh mada ibadilike iwe na vinyeo🤣Kama mimi nikisema nahamu ya kubomolewa uchi watu wananuna.
Mm siwez kukwambia nna nn kwani wew mke wangu?Una nini Wewe labda?
Ningekuwa si Msomi 'ungenibenjulia' nikuweke nalo?Yaan na wewe Gentamy nini sijui unajiita msomi?😂😂
Hawajawahi 'Kukushindilia' nalo hata Siku moja?
Leo umenisahau Basha wako?Mm siwez kukwambia nna nn kwani wew mke wangu?
'Aliyekushindilia' nalo lote?Yule jamaa Ana matatizo ya akili anajiita popoma.
Anapaki nyumbani kwake magari ya kupigia udalali kapewa auze,anawaoneshea kua ni yake mnamuona mjanjaaa,muzaramo yule ana maneno kibaaao hana kitu 😄😄Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.