Sisi wasomi*😁 tunaona kwamba yupo 'subjectively biased.'
Yaani ametunga nadharia yake mwenyewe bila kutathmini nafasi kadhaa za kiuchumi ambazo mmiliki wa iphone 15 anaweza kuwemo.
Kuna mmiliki wa iphone 15 ambaye;
-Amejiumiza kiuchumi ili amiliki iphone, ni maskini.
-Anaweza kumiliki iphone na akabaki kwenye nafasi nzuri kiasi ya kiuchumi, atasuasua kidogo.
-Anaweza kumiliki iphone 15 hata mia moja, ni fogo.
-Kapewa kwa sababu flani flani.
-Kaokota.
nadhani kuna possibilities zaidi ya hizo nilizotaja.
Sasa wasomi tunamuuliza, ana uhakika kila mmiliki wa iphone 15 hawezi kumiliki piki piki na kiwanja pia? ama zaidi?