Acheni tu huyu Dotto Magari aendelee Kutudharau Sisi Wasomi wa Tanzania na ninakubaliana nae kwa 100%

Sisi wasomi*😁 tunaona kwamba yupo 'subjectively biased.'

Yaani ametunga nadharia yake mwenyewe bila kutathmini nafasi kadhaa za kiuchumi ambazo mmiliki wa iphone 15 anaweza kuwemo.

Kuna mmiliki wa iphone 15 ambaye;

-Amejiumiza kiuchumi ili amiliki iphone, ni maskini.

-Anaweza kumiliki iphone na akabaki kwenye nafasi nzuri kiasi ya kiuchumi, atasuasua kidogo.

-Anaweza kumiliki iphone 15 hata mia moja, ni fogo.

-Kapewa kwa sababu flani flani.

-Kaokota.

nadhani kuna possibilities zaidi ya hizo nilizotaja.

Sasa wasomi tunamuuliza, ana uhakika kila mmiliki wa iphone 15 hawezi kumiliki piki piki na kiwanja pia? ama zaidi?
 
Naona wenye Iphone 5 wameanza kuja kwa Usununu / Hasira. Pole sana Mkuu ila Sindano ya Dotto Magari imekuingia.
 
Kila mfano anatolewa Msomi?! Wanadharaulika sana. Ni dunia nzima mafanikio hayategemei elimu tu, kila mtu anauwezo wa kutusua tatizo tunadharauliana. Huyo ambaye hajasoma na amepata hela kaangalie anavyohangaika kusomesha wanae. Kila mtu anatoa boko kwenye maisha. Huyo Doto anatumia mdomo tu sio kwamba yeye ni smart sana. Tuache kudharauliana wala kupangiana wala kushauriana kwakudharuliana. Maisha yanabadilika saa yoyote ile. ISHI.
 
Back
Top Bottom