Acheni tu huyu Dotto Magari aendelee Kutudharau Sisi Wasomi wa Tanzania na ninakubaliana nae kwa 100%

Ndugu Genta, mbona hata wasio wasomi huku mtaani wanamiliki hizo simu huku wanapanda daladala, sidhani kama ni tatizo la wasomi pekee bali ni tatizo la jamii nzima.
 
Dotto mjinga km wajinga wowote bahato mbaya tumekutana na kizaz cha kushabiki upumbavu taifa litasobga kikiwa na wasomi wengi na sio wasomi vyawa au wajinga wanaopeewa headline
 
Hayo yote uliosema yapo kwenye kapu moja
Kwa sasa tumetoa item moja kwenye kapu so jikite kwa mada husika mkuu

Je msomi ambaye ni jobless ni sawa kumiliki simu ya 5m?!
 
Kama jobless simu ya 5m kaitoa wapi? Wazazi waweza kuwa na pesa wakampa hawataki mtoto wao apate shida hata kama jobless
 
Hayo yote uliosema yapo kwenye kapu moja
Kwa sasa tumetoa item moja kwenye kapu so jikite kwa mada husika mkuu

Je msomi ambaye ni jobless ni sawa kumiliki simu ya 5m?!
Kumiliki Simu ya 5m kuna tatizo ama kosa gani?

Nadhani mnakosea kulisema jambo hilo kavu kavu, ndipo panapotokea ukakasi, kumbe mnakuwa mnaisemea simu ghali vs mambo mengine kama usafiri nk nk.

Eeh, maana mnaongea bila mfumo sasa!

Mtu anaweza kumiliki simu ghali kama njia ya kujiwekea dhamana kwa mambo ya dharula.

Mtu anaweza kumiliki simu ghali, huku mambo mengine muhimu yakiwa katika mnyororo wa utekelazaji nk nk.

Na katika jamii hatuwezi kuishi kwa kuwaza mawazo yenye kufanana.
 
Msomi ni nani (criteria gani unatumia kwenye hii classification) na asiye msomi ni nani?

Mfano, Vunja bei ni msomi? Na yeye anadharauliwa na dotto manywele?
 
Amini hiki blood,wanaomiliki iphone wengi ni malaya na mashoga.

Unaweza sasa hapo kubashiri akili za hao wanaozimiliki.

Hapo Dottomagari ingawa mi silipendagi ila hapo kagonga ikulu,ni ukweli mtupu
 
Aiseee
 
Sawa Mdogo wangu wa Damu.
 
Amini hiki blood,wanaomiliki iphone wengi ni malaya na mashoga.

Unaweza sasa hapo kubashiri akili za hao wanaozimiliki.

Hapo Dottomagari ingawa mi silipendagi ila hapo kagonga ikulu,ni ukweli mtupu
Anza na yeye huyo role model wako, anamiliki simu ghali lakini hana nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…